mkuu mi sio teen ni braza 30's nazani umeelewaaado! michango yenu mizuri mno na inaonyesha jamii imebadilika mno yani kwa lugha nyingine inarudi kwenye maadili michango ni mizuri mno afanye madudu mwenyewe japo mazingira yanaonyesha mtuhumiwa ni teen 20-30 flani hivi form 6-chuo hivi kazi ipo