sasa unaogopa nini na wewe unatumia jina ambalo sio lako? mwaga ugali kaka utufungue macho,au kuhusu ugonjwa wa Mh. Zitto?
weka mambo hadharani utusaidie.
Kama inahusu maslahi ya nchi basi huna budi kuiweka hadharani lakini wakati huo huo uchukue hatua muhimu ili kulinda uhai wako kama vile kuwa makini 24/7 katika maeneo yote utakayozuka na kupunguza kuwa nje ya maskani yako nyakati za usiku mwingi, kama ujuavyo sasa hivi kulambishwa sumu kunazidi kushamiri kwa kasi ya kutisha na hakuna aliyekamatwa hadi sasa.