malimingiii
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 968
- 1,343
pole sana, huo ndio ukubwa mkuu. ukiskia kua uyaone ndio mambo kama hayo.
Bora ukae nae chini umweleze kua alichokifanya sio kitu kizuri na kama unamwacha unamwacha kwa sababu hiyo.