kiseco
Member
- Nov 27, 2016
- 56
- 63
Duh unaishi na mwanamke ndani halafu unawaza upuuzi kama huo duh ....
Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli utoto unakusumbua ukikua utaacha kubwa jinga we we mxiuuuuuKama wewe ulivyo mpuuzi
We kweli utoto unakusumbua ukikua utaacha kubwa jinga we we mxiuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui anachokitaka ndo maana anaomba ashauriweDoh! Unatafuta nini kwa huyu mpya kama una mwingine?
Na kweli!
Not all men are dogs Dennyce.Huyu ni mbwa koko ambae hata akipewa chakula kwenye sahani bado ataenda majalalani kutafuta.Very stupid
Mwache binti wa watu, ukimfanyia ushenzi huo utalipa gharama kubwa.Kuna binti nimeingia nae mahusiano lakini bado sijavunja nae amri ya sita ila mimi nina mwanamke mwingine ambaye nimezaa nae mtoto mmoja na naishi nae.
Swali langu ni je nimueleze ukweli ili ajue yuko kwenye position gani au nikae kimya mpaka nitakapofanikiwa kumgegeda ndo nimueleze ukweli ? Hofu yangu ni kwamba nikimueleza ukweli anaweza akakimbia mazima.
Naombeni ushauri wenu.
Not all men are dogs Dennyce.Huyu ni mbwa koko ambae hata akipewa chakula kwenye sahani bado ataenda majalalani kutafuta.Very stupid
tembeza mjeredi then ndo mkae mlidiscus kama unataka kulidiscus kabla kugegedana ni pm namba yake ili akizingua nikuombee msamaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha bila shaka una tabia za kishoga wewe.Stupid ni wewe na aliekuleta duniani