Nimueleze ukweli au nikae kimya..

Nimueleze ukweli au nikae kimya..

Kuna binti nimeingia nae mahusiano lakini bado sijavunja nae amri ya sita ila mimi nina mwanamke mwingine ambaye nimezaa nae mtoto mmoja na naishi nae.

Swali langu ni je nimueleze ukweli ili ajue yuko kwenye position gani au nikae kimya mpaka nitakapofanikiwa kumgegeda ndo nimueleze ukweli ? Hofu yangu ni kwamba nikimueleza ukweli anaweza akakimbia mazima.

Naombeni ushauri wenu.
kumbe una mwanamke umezaa nae na unaishi nae! huyo mwengine wa nn??? una uwezo wankuhudumia mwanamke zaidi ya mmoja? huyo uliekuwepo nae umeshamuoa??? hebu muoe kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom