Mpenz....mi binafsi hua nanunua chakula Cha jumla ndani napoishi sokon mbali so nanua vitu, mboga hata za wiki nzima Sasa ukipika mfano Wal maharage yeye anachukua samaki anapikaAjabu sana, maana km ni hela inakaa chumbani tena kwenye mkoba na inatoka kwa mahesabu. Sasa inakuwaje mtu anajipikia tu anavyotaka?
Ht huku mikoani hatuna huo utaratibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh pole yako kwakweli, ongea nae.Mpenz....mi binafsi hua nanunua chakula Cha jumla ndani napoishi sokon mbali so nanua vitu, mboga hata za wiki nzima Sasa ukipika mfano Wal maharage yeye anachukua samaki anapika
Hahaha kweli wapole tunapata tabu sana..mwambie Mme wako hayo yote nkiwa peke yenu..shusha mashaka yote..halafu mpe msimamo wako aamue huyo binti aondoke au amkanye ajirekebishe.Mimi huyu wa kwangu Kila akitoka anarudi na marafiki zake ata 4 hv anakuja hata akutambulishi wanapakua ulichopika wanakula wanaondoka
Huyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.
Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.
Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Wewe mwenyewe ni Bonge la Tatizo na Jipu linalohitaji kupasuliwa ili uwe sawa .
Wewe mwenyewe ni Bonge la Tatizo na Jipu linalohitaji kupasuliwa ili uwe sawa .Hapo ni kwako mkalishe chini na umpe utaratibu wa kuishi hapo.Huyo siyo MTT 25 yes ni MTU wa kuwa na kwake,haingii akilini anaingia chumbani kwako analeta watu nyumbani hatambulishi hz ni Tania za machokoraa.Asiposikia mweleze mjomba wake!!!Natumai wazima wote.
Naomben mawazo yenu hasa wanawake mlioko kwenye ndoa
Mi nipo ndoan miez michache tu nimeolewa baada ya miez 2 akaja mtoto wa wifi yangu naishi nae hapa
Sasa Kuna vitabia anavyo ambavyo kweli kibinadamu vinanikwaza ila navumilia sababu najua tumetoka familia tofauti na tumelelewa malezi tofauti..
Vingi napotezea tu sababu najua may be utoto au!
Bint Anamika 25 tabia yake kubwa inayonikera nikuingia chumbani kwangu yeye anachumba chake lkn akiwa nashida anaingia tu haijalishi atanikutaje labda navaa wala hajali binafsi naona kitu Cha ajabu sababu tulivyokua chumba Cha baba na mama Cha kuheshim na tulikua tunaingia kwa emergency, nilimuita nikamwambia ukiwa na shida chumbani niambie au bisha hodi lkn haiajsaidia
2) tabia ya pil anafanya vitu anavyotaka yeye mfano akitaka kupika haulizi tunapika Nini anapika anavyojisikia na anavyotaka yeye unakuta hela niliyoachiwa ikiisha naulizwa Mimi nashindwa kumwambia mjomba ake napotezea tu.
Kila siku anakuja na marafiki wapya hata anitambulishi Wala siwajui napishanao tu naweza kutana na mtu jikon au chumbani kwake hata cjui Ni Nan serious nakosa Amani nashindwa nifanyeje
Kibaya mjomba wake anaamini huyu bint yuko parfect 100% hata akikosea anaogopa kumwambia so nashindwa nifanyeje
UwiiiHuyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.
Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.
Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.

Mwanamke yeye ndio controler wa nyumba mume ni fasilitetaMi nitamfukuzaje yupo kwa mjomba wake?
Nilikuwa na boyfriend wangu mmoja mpaka tukaamua kuserious akanitambulisha kwa ndugu na jamaa.Natumai wazima wote.
Naomben mawazo yenu hasa wanawake mlioko kwenye ndoa
Mi nipo ndoan miez michache tu nimeolewa baada ya miez 2 akaja mtoto wa wifi yangu naishi nae hapa
Sasa Kuna vitabia anavyo ambavyo kweli kibinadamu vinanikwaza ila navumilia sababu najua tumetoka familia tofauti na tumelelewa malezi tofauti..
Vingi napotezea tu sababu najua may be utoto au!
Bint Anamika 25 tabia yake kubwa inayonikera nikuingia chumbani kwangu yeye anachumba chake lkn akiwa nashida anaingia tu haijalishi atanikutaje labda navaa wala hajali binafsi naona kitu Cha ajabu sababu tulivyokua chumba Cha baba na mama Cha kuheshim na tulikua tunaingia kwa emergency, nilimuita nikamwambia ukiwa na shida chumbani niambie au bisha hodi lkn haiajsaidia
2) tabia ya pil anafanya vitu anavyotaka yeye mfano akitaka kupika haulizi tunapika Nini anapika anavyojisikia na anavyotaka yeye unakuta hela niliyoachiwa ikiisha naulizwa Mimi nashindwa kumwambia mjomba ake napotezea tu.
Kila siku anakuja na marafiki wapya hata anitambulishi Wala siwajui napishanao tu naweza kutana na mtu jikon au chumbani kwake hata cjui Ni Nan serious nakosa Amani nashindwa nifanyeje
Kibaya mjomba wake anaamini huyu bint yuko parfect 100% hata akikosea anaogopa kumwambia so nashindwa nifanyeje
Mchambo heavyHuyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.
Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.
Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Na huo ndio ukweli. Bibie inaonekana mpole.Mkalishe kikao cha kushtukiza mumeo akiwepo umwambie hizo tabia mwisho ni leo unless uwe haujaolewa na wewe mwenyewe ni mzurulaji tu humo ndo maana anakudharau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chunguza vizuri, ukute ni mke mwenzio.
25 years old, siyo mtoto.Na kweli maana kizazi cha leo hii hiki si cha kukipa dhamana kabisa Chifu.
"Stand for the truth always stand alone"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndo jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati nzuri au mbaya ukute kabla ya wao kuoana mjomba aliwahi kuishi na mpwa wake.
Hapo mke ndiye intruder.