Nimuandalie zawadi gani valentine hii?

Nimuandalie zawadi gani valentine hii?

mcheat with the beauty girl
hiyo ni zawadi atoisahau maishan mwake
 
Mwambie unabonge la zawadi lakumpa lakini unampa nafasi ajichagulie.
 
Ndungu yangu nakushauri hivi mungu akijalia ikifika hiyo siku yenyewe maana bado siku kama 4 hivi ni parefu hapo kama ni waislam mwambie mkeo msali sali ya kumshukuru mungu since mnafikisha miaka kumi na tano na mfunge siku hiyo kama ni waskristo pia nendeni kasinisani kisha baaday ya hapo usiku wenu uwe sehemu tofauti na home mpeleke hotel.
 
Jamani eh, valentine ndo hiyoo inachungulia. Natamani nimuandalie wife wangu zawadi nzuri na spesho. Miaka ya nyuma nimewahi kumpa vitu kama jewellery (vito), simu aliyoipenda, nguo, viatu n.k. Je nimuandalie nini valentine hii baada ya miaka 15 ya ndoa yenye furaha?

Hiyo avatar yako ni zawadi tosha....ikwangue hapo kwa screen.
 
Back
Top Bottom