Nimuandalie zawadi gani valentine hii?

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
Jamani eh, valentine ndo hiyoo inachungulia. Natamani nimuandalie wife wangu zawadi nzuri na spesho. Miaka ya nyuma nimewahi kumpa vitu kama jewellery (vito), simu aliyoipenda, nguo, viatu n.k. Je nimuandalie nini valentine hii baada ya miaka 15 ya ndoa yenye furaha?
 
Ngoja nikusaidie

Valentine-Chocolate-Gifts.jpg
 
Mpeleke mahali ambapo hajawahi enda na urudie nadhiri zile ulizoziweka wakati ulikuwa unamchumbia it will be mor than enough to your wife that material things.
 
nenda kaongeze mahari huko kwao....waambie kuwa umegundua ile mahari uliyoitoa mara ya kwanza haitoshi.
 
at least unamkumbuka mkeo, kuna type zingine za wanaume huwa hawakumbuki kabisa mambo haya.
kuhusu umpe zawadi gani, jitoe muhanga umuulize nini anakitamani rohoni kwake
 
Jamani eh, valentine ndo hiyoo inachungulia. Natamani nimuandalie wife wangu zawadi nzuri na spesho. Miaka ya nyuma nimewahi kumpa vitu kama jewellery (vito), simu aliyoipenda, nguo, viatu n.k. Je nimuandalie nini valentine hii baada ya miaka 15 ya ndoa yenye furaha?

Vyote hivyo ulivyowahi kumpa miaka ya nyuma pamoja na Dinner ya nguvu katika Hotel ambayo anaipenda sana.

mwandalie dinner nyumbani c lazima mtoke kwenda hotelini mtengenezee chakula anachokipenda na zawadi nzuri kama perfum au nguo try n do smthing different
 
Back
Top Bottom