Nimuache au nimuoe huyu msichana?

Nimuache au nimuoe huyu msichana?

Inategemeana kakupa shart..it means ukishindwa kutimiza hkuna ndoa? Kama hakuna ndoa huyo si mwanamke sahihi
 
Kama una uwezo wa kumnunulia we mnunulie hiyo simu, umekaa nae zaidi ya mwaka simu tu unalalamika?? Halafu ana shughuli yoyote inayomuingizia kipato?? Kama hana mtafutie au muwezeshe hutomsikia anataka tena 'tachi'
 
Acha tu shoga mimi niliwahi kuwa na bf ana drive ndinga kali mjini ana gari za kifahari kama Range, discovery lakini mpenzi wake hata ka vits nilikuwa sina. Vitu vingine wanaume muwe mnajiongeza nilimuacha sababu niliona huyu hakuwa na mimi kwa malengo.
tafuta lako mama kutegemea kitu cha mtu utakufa maskini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom