Nimuache au nimuoe huyu msichana?

Nimuache au nimuoe huyu msichana?

Sharti la kwanza la muolewaji ni la kawaida tu, anapenda simu ya touch ndio mana kakuomba mume wake mtarajiwa umnunulie

Sharti la pili la sio Sharti kwanza ni desturi kumuoa lazima akupeleke kwa wazazi wake

Sijaona apo cha kukufikirisha sana mkuu labda kama kuna mengine

Alafu mke anaonekana hana makuu kabisa. . . Yani anaomba touch tu???!!

Muoe uyo
 
Asa simu za touch si hata kwa elfu 70 tu unapata?mbona mashart marahisi sana hayo shehe?angekupa sharti la kumnunulia Vx kama ambavyo mimi nimekua nikiambiwa na hawa mashankupe wa mjini ingekuaje?
 
Sa

sawa mkuu
 
Naona nisehemu ya kukubaliwa
Kama ni hivyo, huyo mwanamke ni mfanyabiashara maana mtu kumnunulia simu mpenzi ni kawaida sana mkiwa katika uhusiano. Lakini swala la kuifanya simu kama kigezo na sharti la kukubaliwa kuwa mpenzi, moja kwa moja alieweka hilo sharti anadhihirika tu kuwa ni kahaba asiestahili kupewa hadhi tofauti na hiyo ya ukahaba maana kama hilo sharti halitatekekezwa, ni dhahiri kuwa hakuna jambo lingine linalomsukuma kukubali kuingia katika uhusiano na huyo alietakiwa kuleta simu.
Kwa upande mwingine ni kuwa, huo uhusiano hauna lolote linaloufanya uwepo zaidi ya mmoja kununuliwa simu ambalo ndilo kusudio kuu la kuingia kwenye ndoa na inakaribisha mawazo kuwa kuna uwezekano hata kama mtu mwingine baki atawahi kuleta simu ya touch, basi atapelekwa kutambulishwa kwa wazazi kama suitor maana kikubwa ni hitaji la simu ya touch kutimizwa.
So pathetic!
 
Mmmmm hapo kazi kwako sio jambo baya na mkemwema unafikiri hatamani vitu vizuri? Mie mumewangu anajua kama napenda vitu vizuri
 
yaani mwanamke wa kumuoa unamwita "DEMU" pambaf sana, kama ni demu mwache tu,,ila kama ni mdada mwoe! sijawahi ita mwanamke wangu demu ata siku moja
 
Hafai huyo, inaonyesha ana tamaa sana na hayuko serious kuingia kwenye ndoa kama utakavyo wewe... Angeanza kwa hatua hataua.. Ingawa ni vizuri umnunulie ila isiwe kigezo cha yeye kuolewa ama la... Hafai.
 
Hhahahahahahahaha...hii dunia hii...acha tu.

Najaribu kupata picha alivyokuwa anakupa masharti hayo...halafu mwishowe ukasema 'sawa'. Halafu ukatoka hapo ukaja huku kuomba ushauri. halafu kila mtu anakuita mbahili. halafu ukishamnunulia simu (na hutamnunulia tecno ya 70,000/-) ya laki tau, nne, hivi kabla hajakupeleka kwao anakutosa.

Hapa najaribu kuwaza tu...kigezo cha yeye kutaka kukupima kwa simu ni nini? Huwa humpi zawadi? Alishawahi kukupa zawadi? Umekuwa ukibadili simu mara kwa mara? Hali yake ya uchumi ikoje?

duh mkuu hebu changanya akli zako la sivyo ukitaka unbiased ushauri hapa basi useme kinagaubaga kuhusu uhusiano wenu...hali yake kimaisha na kiuchumi na ya kwako pia, muda mlioko kwenye mahusiano, ulimtongozaje, mambo ambayo mmekuwa mkishare na ambayo ni ya kila mmoja, nk nk...
 
Sharti la kwanza la muolewaji ni la kawaida tu, anapenda simu ya touch ndio mana kakuomba mume wake mtarajiwa umnunulie

Sharti la pili la sio Sharti kwanza ni desturi kumuoa lazima akupeleke kwa wazazi wake

Sijaona apo cha kukufikirisha sana mkuu labda kama kuna mengine

Alafu mke anaonekana hana makuu kabisa. . . Yani anaomba touch tu???!!

Muoe uyo
Huyu jamaa ana mengine tu
 
Asa simu za touch si hata kwa elfu 70 tu unapata?mbona mashart marahisi sana hayo shehe?angekupa sharti la kumnunulia Vx kama ambavyo mimi nimekua nikiambiwa na hawa mashankupe wa mjini ingekuaje?
Nadhan Angekufa
 
Hamjambo wadau? Namuomba ushauri wenu wa busara. Mimi kuna Demu ambaye nilimpenda sana. Juzi nilipo mwambia bayana yangu kwake kuhusu MAPENZI kwa sababu nataka kumuoa alinipatia masharti mawali la kwanza aliniambia nimununulie Simu ya tach Sharti la pili anipeleke kwa wazazi wake. Sasa na hisi kuwa hajanipenda Bali anamathamanio ya vitu vya kidunia zaidi kuliko MAPENZI. Ushauri wenu kwangu ni mununulie hiyo Simu au niachane naye? Nisaidieni wadau huyu Demu ananiumiza kimawazo.
Jamani mbona haja taka bado kitu hiyo sikuiiz cm zipo mpaka za laki2 unashindwa kumchukulia mpenzi wako,kwanza kajishusha nasanaa amekuonea huruma,Mie ningeanza na Gari au kiwanja..
 
Hhahahahahahahaha...hii dunia hii...acha tu.

Najaribu kupata picha alivyokuwa anakupa masharti hayo...halafu mwishowe ukasema 'sawa'. Halafu ukatoka hapo ukaja huku kuomba ushauri. halafu kila mtu anakuita mbahili. halafu ukishamnunulia simu (na hutamnunulia tecno ya 70,000/-) ya laki tau, nne, hivi kabla hajakupeleka kwao anakutosa.

Hapa najaribu kuwaza tu...kigezo cha yeye kutaka kukupima kwa simu ni nini? Huwa humpi zawadi? Alishawahi kukupa zawadi? Umekuwa ukibadili simu mara kwa mara? Hali yake ya uchumi ikoje?

duh mkuu hebu changanya akli zako la sivyo ukitaka unbiased ushauri hapa basi useme kinagaubaga kuhusu uhusiano wenu...hali yake kimaisha na kiuchumi na ya kwako pia, muda mlioko kwenye mahusiano, ulimtongozaje, mambo ambayo mmekuwa mkishare na ambayo ni ya kila mmoja, nk nk...
Kiongozi, huyo "hana uchumi". Ukiona mdada anaomba vitu petty kiasi hicho ujuwe tu huyo ni tegemezi kabisa.

Namshauri amnunulie, na asiishie hapo. Amnunulie na vingine anavyoona mpenziwe anahitaji kwa sababu mtu wa hivyo ni dependant tu.
 
mnunulie tu mkuu .. ila jiandae kisaikolojia tu lolote laweza tokea usije kufa

jambo lingine kama ni mtego je anataka kukupima nini?

Unaweza kuambiwa ninunulie UA lakini kwenye hilo ua kuna mtego;

- thamani: unanunua ua gani la thamani gani
- kumfahamu: je utaleta ua la rangi gani, unajua maua anayoyapenda
- naturality: utanunua ua original au fake

aisee hii ishu mnamjiu kirahisi rahisi lakini both options ziko valid kabisa;
either binti anamzingua tu jamaa na baada ya simu ndo ataona manyoya
or binti anampima jamaa (anampima nini? mimi na wewe hatujui)

bottom line achunguze vyema uhusiano wao yeye mwenyewe ndye mwenye jibu sahihi hapa!

asisahau tu kuja kutupa mrejesho!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom