Nimuache au nimuoe huyu msichana?

Nimuache au nimuoe huyu msichana?

Jamani cm kitu kidogo sana mjomba, kwani ukimchukulia kitechno cha 150,000/= unapungukiwa na nini.

Sent from my HTC Desire 820s dual sim using JamiiForums mobile app
Tatizo siyo simu, tatizo ni mwanamke kujithaminisha kwa gharama ya simu. Mwanamke wa bei rahisi kama huyo, hafai kwa ndoa, labda kwa kupita tu.
Labda mleta thread ampatie hiyo simu na kumwacha na yeye atafute mwanamke mwenye viwango. Maana mtu ambae simu inadetermine kitu kama ndoa, sio mtu anaeweza kuwa na viwango vya kuheshimika na kuthaminika kwa viwango vinavyovuka hiyo thamani ya simu.
Ni kawaida kupeana zawadi watu mkiwa kwenye uhusiano ndio maana watu wanawafungulia biashara wake zao, kuwanunulia magari na hata kuwajengea nyumba, ila kuwekeana masharti ya kuwapo au kutokuwapo kwa ndoa kutokana na mmoja kupewa au kutokupewa simu, hiyo ni dalili ya mapungufu makubwa sana.
 
Mie kabla ya kukushauri ningependa kujua Umri wa huyo Mwanamke???, na Elimu yake??? mana kwa hayo masharti alokupa sidhani kama ana uewelewa mzuri na kuwa mke mzuri wa kuja kukuushauri, au hata kuwa mama mzuri kwa watoto, Hivi ndoa inapimwa kwa simu kweli? Thamani ulompa anaifananisha na simu ya laki 2 au 3??? Nijibu hayo maswali mawili hapo juu ndio ntaweza kukushauri. japo nahisi kama hayuko serious na hata ukinunua simu anaweza asikukubali.
Asante sana Mkuu, maana umegusa kile ambacho nimekuwa najaribu kuwaelewesha. Kifupi ni kuwa hapo hakuna mapenzi yoyote isipokuwa hitaji la simu ambalo haliwezi kuwa msingi wa fungamano la kudumu kama ndoa. Period.
 
Amesha kuwa mpenzi wake kwa muda wa mwaka mmoja. Swali la kujiuliza ndani ya mwaka mmoja bado tu hajamsoma mpenzi wake au nini. Katika uhusiano wao huo je alishawahi kumnunulia japo basi hata simu mmoja?. Kama jibu hapana huoni ameona kuna sababu ya kuwa na hiyo simu kwa sasa.
Hakutaja kipengele cha mwaka mmoja, labda kama kakizungumzia kwenye posts zingine.
 
Hakutaja kipengele cha mwaka mmoja, labda kama kakizungumzia kwenye posts zingine.
ametaja mkuu soma baadhi ya reply zake humu kwenye uzi kasema wana mwaka mmoja na binti yuko na 19 yrs hivyo mean alianza kumdate akiwa na 18... hako si katoto tu. sie wakongwe hata siku moja huwezi kukuta tunaomba hivyo vitu.. simu ninayotumia nimenunua 680,000 na Ipad ya Apple ya laki 8..usitegemee mimi nikuombe ninunulie simu inabidi mtu mwenyewe wewe kama mwanaume ujiongeze..
 
Mkuu mnunulie dem wako aendane na wakati acha kumuwazia mambo yaa ajabuu
 
yaani mapenzi yanaenda na masharti

mnunulie ili awe bize na dunia na kukusahau ww
 
ametaja mkuu soma baadhi ya reply zake humu kwenye uzi kasema wana mwaka mmoja na binti yuko na 19 yrs hivyo mean alianza kumdate akiwa na 18... hako si katoto tu. sie wakongwe hata siku moja huwezi kukuta tunaomba hivyo vitu.. simu ninayotumia nimenunua 680,000 na Ipad ya Apple ya laki 8..usitegemee mimi nikuombe ninunulie simu inabidi mtu mwenyewe wewe kama mwanaume ujiongeze..
Hizo replies, ndizo posts zingine nilizosema ambazo si ile thread kuu ya mwanzoni.
Kama ni hivyo, kinachosumbua hapo ni umri na uelewa mdogo wa mwanamke na pia mapungufu katika kujitoa kwa mwanaume.
 
Wanawake bhana!

Kuna msichana mmoja alikuwa mpnz wangu! Nikamwambia mim nakupenda sana,

Akanijibu "Kama kweli nampenda sana nimtumie laki 2"

Mim nikamjibu nimekudanganya bhana!! Na ile number nikaifuta nika mwambia kabisa ukidhubutu kunitafuta tena nitakufanya Assasinion
 
Jf bana... yaan jf ndo ikuamulie uoe au usioe? kwanza una umri gani mkuu?
 
ana miaka mingapi ?
kwanza tuanzie apo?
kamaliza masomo ?
wangapi kuzaliwa kwao?
 
Binafsi sipendi mtu akitumia neno demu wangu sijui naonaje. Hapana kidogo share na mwenzio kama unaweza mnunulia fanya hivo nadhan amedai kitu ambacho kipo Ndani ya uwezo wako mfurahishe
 
Hilo tu moja ndo limekuwa kipimo cha upendo wake kwako?
mnunulie hiyo simu alafu uone itakuwaje,wakati nawe unajiridhisha juu ya mapenzi yake kwako
 
mpime km kweli hivo unavyofikilia au lah!!
mpigie simu au onana na umuulize, je ukishindwa kumnunulia simu,hatakubali kuolewa na wewe. majibu yake yatakupa mwanga.

by the way simu ni kitu miner sana,km anavigezo vingne safi,fanya mambo.
 
Acha tu shoga mimi niliwahi kuwa na bf ana drive ndinga kali mjini ana gari za kifahari kama Range, discovery lakini mpenzi wake hata ka vits nilikuwa sina. Vitu vingine wanaume muwe mnajiongeza nilimuacha sababu niliona huyu hakuwa na mimi kwa malengo.
Kimeo nikununulie vits?.....jiongeze kidogo
 
Acha tu shoga mimi niliwahi kuwa na bf ana drive ndinga kali mjini ana gari za kifahari kama Range, discovery lakini mpenzi wake hata ka vits nilikuwa sina. Vitu vingine wanaume muwe mnajiongeza nilimuacha sababu niliona huyu hakuwa na mimi kwa malengo.
km ulimkuta na magari yake ni sahihi asikupe hata baiskel,mpk ajiridhishe kua ulimpendea magari yake au lah!!. unasugua bench hata miaka mitano. labda uwe wife.
 
Unaombwa cm unawaaaza je angekwambia umnunulie kiwanja? Nunua itel maisha yaendelee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom