Nimuache au nimuoe huyu msichana?

Nimuache au nimuoe huyu msichana?

" Ulimwambia kuhusu Mapenzi kwa sababu unataka kumuoa" Hiyo simu anayotoka ni malipo ya penzi unaloomba, na huko kuambiwa utapelekwa kwa wazazi anajua utakata tamaa...

Hapo simu utanunua, penzi hupewi kwa sababu hutopelekwa kwa wazazi...
 
Kuna mambo huwa najiuliza kama kweli yanatokea, au huwa stories tu.

Anyway, mwambie akupeleke kwao kwanza, halafu hiyo "simu ya tachi" wajumlishie kwenye mahari utakayotoa.
 
jambo lingine kama ni mtego je anataka kukupima nini?

Unaweza kuambiwa ninunulie UA lakini kwenye hilo ua kuna mtego;

- thamani: unanunua ua gani la thamani gani
- kumfahamu: je utaleta ua la rangi gani, unajua maua anayoyapenda
- naturality: utanunua ua original au fake

aisee hii ishu mnamjiu kirahisi rahisi lakini both options ziko valid kabisa;
either binti anamzingua tu jamaa na baada ya simu ndo ataona manyoya
or binti anampima jamaa (anampima nini? mimi na wewe hatujui)

bottom line achunguze vyema uhusiano wao yeye mwenyewe ndye mwenye jibu sahihi hapa!

asisahau tu kuja kutupa mrejesho!
umeeleza vyema kaka sisi hatuna ushauri mzuri sababu yeye ndiye anayemjua vyema mwenzie
 
ha ha ha ha unafikr na yeye hapend kuja kuperuzi Jamii Forum embu mpe tachi aiseee....
ila nahis ukitekelza hilo kama kuna mashart mengine yatakuja au u can start with kwenda kwa wazee then ifate hyo tachi
 
Mie kabla ya kukushauri ningependa kujua Umri wa huyo Mwanamke???, na Elimu yake??? mana kwa hayo masharti alokupa sidhani kama ana uewelewa mzuri na kuwa mke mzuri wa kuja kukuushauri, au hata kuwa mama mzuri kwa watoto, Hivi ndoa inapimwa kwa simu kweli? Thamani ulompa anaifananisha na simu ya laki 2 au 3??? Nijibu hayo maswali mawili hapo juu ndio ntaweza kukushauri. japo nahisi kama hayuko serious na hata ukinunua simu anaweza asikukubali.
 
Yuko na miaka 19,hakusoma viledarasa la 7
 
Oooh Basi ni sawa sawa, sasa wewe cha kufanya mwambie kwa sasa huna hela akupe muda kama mwenzi ndani ya huo mwezi endelea kumchunguza na vitu vingine, usiangalie tu unampenda angalia pia je ni mke anaefaa, kwa huo umri na hayo masharti alokupa ni sawa hayatii shaka utoto na uelewa, ila kumpa huo muda pia ni katika kumuangalia uvumilivu wake katika shida, mana katika ndoa kuna shida na raha, sasa pima uvumilivu wake na endelea kuwa nae karibu kujua mengine...KUKIMBILIA TU NDOA ITAKUJA KUKUUMIZA, ENDELEA KUMCHUNGUZA NA USIMNUNULIE SIMU MPAKA UWE UMEJIRIDHISHA KWA KIASI FULANI, Pengine shida yake simu tu halafu anakumwaga.
 
Amesha kuwa mpenzi wake kwa muda wa mwaka mmoja. Swali la kujiuliza ndani ya mwaka mmoja bado tu hajamsoma mpenzi wake au nini. Katika uhusiano wao huo je alishawahi kumnunulia japo basi hata simu mmoja?. Kama jibu hapana huoni ameona kuna sababu ya kuwa na hiyo simu kwa sasa.
 
Nishamununulia
 
Smart 4n ni kwaajili ya kufuatilia nyendo zako ktk social media.

Angesema gari ningeshtuka kidogo.
 
Amesha kuwa mpenzi wake kwa muda wa mwaka mmoja. Swali la kujiuliza ndani ya mwaka mmoja bado tu hajamsoma mpenzi wake au nini. Katika uhusiano wao huo je alishawahi kumnunulia japo basi hata simu mmoja?. Kama jibu hapana huoni ameona kuna sababu ya kuwa na hiyo simu kwa sasa.
Wakati nasoma maelezo yake naona hakuweka kama wameshaishi mwaka mzima, Kama wameshaishi mwaka nadhani huyu mwanaume atakuwa ameshajiridhisha ila inaonekana ni Bahili au hajui kutunza mwanamke, Muda mwengine mnasema wanawake ni wanapenda pesa, lakini wanaume wanatakiwa na wao wawaze usikute yeye ana simu ya maana demu ana kitochi n.k., Mpaka inafikia anaomba tena na kuweka ndani ya sharti la ndoa, NA KITENDO CHA KUJA KUOMBA USHAURI KISA KAOMBWA SIMU NA MPENZI WAKE WA MWAKA MMOJA NI WAZI HUYU MLETA MADA NI MGUMU/BAHILI AU Uwezo mdogo, na kama uwezo nina wasiwais huyo demu asingetaka simu ya gharama na kama amejua uwezo wako mdogo na anataka makubwa hakufai, atakusumbua, iko siku usipomtimizia ataenda tafuta nje, NA UJUE HAPO AKIPATA WA KUMNUNULIA HIYO SIMU ANAYOTAKA ANAWEZA HATA AKAKUACHA, NI AIBU SANA KUEKEWA SHARTI KAMA HILO KATIKA SWALA LA MSINGI KAMA NDOA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom