Hamjambo wadau?
Namuomba ushauri wenu wa busara. Mimi kuna msichana ambaye nilimpenda sana. Juzi nilipomwambia bayana yangu kwake kuhusu MAPENZI kwa sababu nataka kumuoa alinipatia masharti mawili la kwanza aliniambia nimnunulie Simu ya tachi sharti la pili anipeleke kwa wazazi wake.
Sasa na hisi kuwa hajanipenda bali anamathamanio ya vitu vya kidunia zaidi kuliko mapenzi ushauri wenu kwangu ni mununulie hiyo simu au niachane naye? Nisaidieni wadau huyu msichana ananiumiza kimawazo.