Luk 16:10 Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia.....Je, ukweli wake unautafsiri vipi, ni usaliti ? au uaminifu ?
Uamuzi ni wako, follow what your heart says! @ symwo
asante...naona watu taka kupotosha dada wa watu tuu hapa. dada ana tabia nzuri she values herself y do we as society extol premarital sex instead of pious young ladies ambao wao kweli wamebaki njia kuu na sio njia kuu wanayozungumzia kwenye matv.
angalia ucje ukatoka kwny mtaro ukaingia kwny shimo refu dada wanaume wa aina hyo wachache sana, na ktk maisha hakuna ambaye hajawahi kufanya kosa he loves you yet MSAMEHE na usahau