Nimsaidieje huyu nguli wa mchezo wa karate?

Oshiro hura mawash geri,ya kimo hicho,
He is good
Juzi kati mida ya saa sita usiku kawakalisha vibaka wanne ndan ya dk 2.Nilimuonea huruma yule aliekuwa ameshika kisu..Hakika huu mchezo ni self defense nzuri mno.
 
Habari wakuu

Nina mdogo wangu ambae ni nguli ktk mchezo wa karate,kiufupi dogo yupo vzr tu.
Amekuwa mwalimu wa watu wengi mkoani mwanza mpaka baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakimfuata awafundishe mchezo huu.

Kwasasa yupo dar na anataka atumie kipaji chake kujiingizia kipato halali,je nifanyeje ili kumsaidia..?Msaada wakuu kama kuna mtu anaweza kumsaidia Tafadhal awasiliane nae kwa namba hizi 0659227342. Thnx
Musa dudu wa isamilo ,babu wa nyakabungo au ni Amir wa pasians??
 
Km ana rank kubwa ya halali ya shotokan,anafaa kuwa mwalimu,
Na km kuna wadau wapo dar na wanataka kujua kujilinda aisee wamfuate,
Shotokan nzuri sana sana
Kuhusu rank;

Anasema yakwamba mkanda wake wa mwisho kupewa na mwalimu wake wa kwanza ulikuwa ni wa Blue,baada ya hapo hakufanikiwa tena kupewa mkanda licha yakwamba alikuwa anashiriki mazoez kila siku...sababu ni hali duni mpaka kushindwa kulipa ada ya mafunzo.

Sehemu ambazo alikuwa akishiriki mazoez alionekana hafai kutumia rank ya blue kutokana na uwezo alionao,walipotaka abadilishe rank aliwagomea coz anadai mwalimu wake ndio alistahili kumbadilisha rank.

Note;Ameshawahi kupambana na mtu mwenye rank ya black na akashinda.
 
Umekazana vizuri vizuri,
Tunakuuliza anacheza mchezo upi na ana rank gani,
Hivi vitu ninakuuliza ndo hutafsiri kukubalika na huvutia wanafunzi
Kuhusu rank;

Anasema yakwamba mkanda wake wa mwisho kupewa na mwalimu wake wa kwanza ulikuwa ni wa Blue,baada ya hapo hakufanikiwa tena kupewa mkanda licha yakwamba alikuwa anashiriki mazoez kila siku...sababu ni hali duni mpaka kushindwa kulipa ada ya mafunzo.

Sehemu ambazo alikuwa akishiriki mazoez alionekana hafai kutumia rank ya blue kutokana na uwezo alionao,walipotaka abadilishe rank aliwagomea coz anadai mwalimu wake ndio alistahili kumbadilisha rank.

/>Note;Ameshawahi kupambana na mtu mwenye rank ya black na akashinda.
 
Kila mchezo wa karate unawawakilishi kila mkoa na wana vyama vyao wapo kila mkoa
 
Sehemu ambazo alikuwa akishiriki mazoez alionekana hafai kutumia rank ya blue kutokana na uwezo alionao,walipotaka abadilishe rank aliwagomea coz anadai mwalimu wake ndio alistahili kumbadilisha rank.

Mh hapa maelezo hayajanyooka vyema,

Mimi nilianza kujifunza 'tong-il moo-do' Ila baadaye nikahama nilikokuwa na sikupata mwalimu wa kunifundisha hicho. Nilipohamia walikuwa wanafundisha 'shotokan' karate. Walichofanya ni kunipambanisha na mtu mwenye mkanda niliokuwa nao kupima level yangu kisha nikaendelea kutoka hapo.

Hii sheria ya aliyekuwa mkanda wa mwisho ndo anatakiwa kukupa unaofuata ni mpya machoni pangu.

Hata hivyo kuna jamaa anaitwa Zaidi Hamisi (sijawasiliana naye kumuomba ruhusa ya kuweka namba yake hapa) ni kocha wa JUDO Tanzania ingawa anafahamu pia aina kadhaa za karate. anaweza kuwa msaada mkubwa sana kwake.

Ukifanya google search hutomkosa na mawasiliano yake. Ukishindwa nitafute nitakupa mawasiliano yake.

Vipaji hivyo si vya kupoteza ingawa ajaribu kunyoosha maelezo yake hapo kwenye mkanda wake. Kuwa professional lazima uwe na sifa husika lasivyo ataishia kufundisha mtaani. Najua vijana wengi walikuwa vizuri kuliko ila ilibidi waanzie mikanda ya chini kwa kuwa walikuwa wanajifunzia mtaani. Of course hata kwa ndugu yako kama kweli ana uwezo anaosema anao, hatochukua muda mrefu kuufikia na kuutetea mkanda mweusi.

Kila la kheri.
 
Shule gani nzuri kwa watoto kwa hapa dar es salaam ya karate na goju luu kama unaju unishauri bro kwa miaka hii??miaka yetu ile ilikuwa zanaki secondary school hall!!
 
Habari wakuu

Nina mdogo wangu ambae ni nguli ktk mchezo wa karate,kiufupi dogo yupo vzr tu.
Amekuwa mwalimu wa watu wengi mkoani mwanza mpaka baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakimfuata awafundishe mchezo huu.

Kwasasa yupo dar na anataka atumie kipaji chake kujiingizia kipato halali,je nifanyeje ili kumsaidia..?Msaada wakuu kama kuna mtu anaweza kumsaidia Tafadhal awasiliane nae kwa namba hizi 0659227342. Thnx
Ni Vema akapata kibali kwanza, hii itasaidia kujuwa yuko wapi anafanya nini.Usije ikawa waharifu wanapitia kwako upat hiyo taaluma ahimu na kutekeleza uhalifu wa kiwango cha juu.Ajiunge na YMCA pale na utaratibu watamuonana kumpatia nafasi,maana ukiwavizuri katika mchezo huko huwezi jificha ukiwa pamoja na wenzako.kuanzia hapo sasa mlango utauwa uko wazi.
 
Wakuu kwa aliyeko Dodoma na ni mtaalamu wa hii kitu na yuko tiari kunifundisha tuonane...
 
Mkuu yupo tabata na kule naona kama hakuna wapambanaji...dogo yupo vizuri sana...

Lengo langu ni aweze.kujiingizia.kipato kupitia kipaji chake ..haijalishi kwa njia gani ilimradi tu iwe ya halali.
Hicho kipaji mwache abaki nacho hivyohivyo ila mjengee banda nzuri kisha mpe mtaji afuge kuku kibiashara
 
Back
Top Bottom