Nimsaidieje huyu nguli wa mchezo wa karate?

Nimsaidieje huyu nguli wa mchezo wa karate?

Ajaribu shule ya wakorea inaitwa Ivy first,ipo Kigamboni kama unaenda kibada kupitia njia ya kisiwani,
Wanafundisha watoto marshal arts,mazingira ya kazi ni mazuri sana ata enjoy kama atapata.
Mkuu nielekeze vizuri jinsi yakufika huko.

Nikitokea kigamboni napanda gari za wapi nashukia kituo gani?
 
Akapigane Kick Boxing kama yuko fit..
Ila ngumi atuachie, asijaribu boxing akidhania karate ni boxing..

MayWeather alichomfanya MacGregor ndio ujue ngumi/boxing sio karate au kick boxing..!!
Atafute misikiti afundishe huko .
Myweather (Bondia) alipigana na Mc Gregory (Kick Boxer) katika mchezo na sheria za Boxing ambazo Floyd amezizoea. Ungetaka kujua nani hasa mkali wangeambiwa kila mmoja atumie styles zake anazopigana kwenye michezo yake ndio ungeelewa.
 
Habari wakuu

Nina mdogo wangu ambae ni nguli ktk mchezo wa karate,kiufupi dogo yupo vzr tu.
Amekuwa mwalimu wa watu wengi mkoani mwanza mpaka baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakimfuata awafundishe mchezo huu.

Kwasasa yupo dar na anataka atumie kipaji chake kujiingizia kipato halali,je nifanyeje ili kumsaidia..?Msaada wakuu kama kuna mtu anaweza kumsaidia Tafadhal awasiliane nae kwa namba hizi 0659227342. Thnx
Anacheza mchezo upi na ana rank ipi,angekuja mwenyewe humu ingekuwa vyema
 
Myweather (Bondia) aliigana na Mc Gregory (Kick Boxer) katika mchezo na sheria za Boxing ambazo Floyd amezizoea. Ungetaka kujua nani hasa mkali wangeambiwa kila mmoja atumie styles zake anazopigana kwenye michezo yake ndio ungeelewa.
Mywwather Asinge chukua hata dakika mbili huyo
 
Akapigane Kick Boxing kama yuko fit..

Ila ngumi atuachie, asijaribu boxing akidhania karate ni boxing..

MayWeather alichomfanya MacGregor ndio ujue ngumi/boxing sio karate au kick boxing..!!

Atafute misikiti afundishe huko .
Si lazima uongee kitu màana unaongea usichojua
 
Anacheza mchezo upi na ana rank ipi,angekuja mwenyewe humu ingekuwa vyema
Kweli mkuu angekuja mwenyewe ingekuwa poa sana ...kwa mujibu wake amebobea kwenye Shotokan na Taikondo(kama cjakosea) ila pia kungfu pia kidogo kacheza.
 
d738a8e9d41445e27b2893945443def9.jpg
f5452b7e6b2e235a340dfbe8f55cd668.jpg
 
Mkuu yupo tabata na kule naona kama hakuna wapambanaji...dogo yupo vizuri sana...

Lengo langu ni aweze.kujiingizia.kipato kupitia kipaji chake ..haijalishi kwa njia gani ilimradi tu iwe ya halali.
Umekazana vizuri vizuri,
Tunakuuliza anacheza mchezo upi na ana rank gani,
Hivi vitu ninakuuliza ndo hutafsiri kukubalika na huvutia wanafunzi
 
Kweli mkuu angekuja mwenyewe ingekuwa poa sana ...kwa mujibu wake amebobea kwenye Shotokan na Taikondo(kama cjakosea) ila pia kungfu pia kidogo kacheza.
Km ana rank kubwa ya halali ya shotokan,anafaa kuwa mwalimu,
Na km kuna wadau wapo dar na wanataka kujua kujilinda aisee wamfuate,
Shotokan nzuri sana sana
 
Mkuu nielekeze vizuri jinsi yakufika huko.

Nikitokea kigamboni napanda gari za wapi nashukia kituo gani?
Shuka kituo cha ferry,tembea mbele kidogo kama unaenda hospitali,panda bajaji za hospital zile wanashea abiria mmoja sh mia tano,shuka magengeni.
Chukua pkpk waambie unaenda shule ya wakorea ni tsh 1000/=utakua umefika mkuu.
 
Umekazana vizuri vizuri,
Tunakuuliza anacheza mchezo upi na ana rank gani,
Hivi vitu ninakuuliza ndo hutafsiri kukubalika na huvutia wanafunzi
Amebobea kwenye shotokan na Taikondo..kungfu kidogo ..
Kuhusu rank nitamuuliza
 
Km ana rank kubwa ya halali ya shotokan,anafaa kuwa mwalimu,
Na km kuna wadau wapo dar na wanataka kujua kujilinda aisee wamfuate,
Shotokan nzuri sana sana
Kweli mkuu nitamuuliza kuhusu rank...Nimempeleka sehemu kadhaa huwez amini wamemshangaa na amepata marafiki wengi ghafla
 
Shuka kituo cha ferry,tembea mbele kidogo kama unaenda hospitali,panda bajaji za hospital zile wanashea abiria mmoja sh mia tano,shuka magengeni.
Chukua pkpk waambie unaenda shule ya wakorea ni tsh 1000/=utakua umefika mkuu.
Shukran mkuu
 
Back
Top Bottom