Nimsaidie au Nimwache..

Nimsaidie au Nimwache..

Ati chat za hapa na pale mpaka tukawa wapenzi kwani hukua na mpenzi mwanzo au umekua oppotunistic yani mtu nyemelezi ukisubiri penye upenyo ufa upenyeze rupia
 
kama unamsaidia kwa lengo zuri msaidie..but kama ni kwa lengo la kupata fadhila za ngono wakati unajua ni mpenzi wa rafiki yako sio vizuri kabisa.
 
Hapana DEMBA, ni hivi wakati namsaidia ilikuwa ni kwa upendo tu, lakn baadae nikadhaniwa na uhusiano nae wa mapenz, na jamaa yake akanitukana, juz wamekuja tena home nimewakaribisha wakamkuta galfrnd wangu jamaa akaanza kuelezea yote, na sasa galfrnd wangu amekasirika hataki kusikia kitu chochote toka kwangu.. Lakn yote kwa sababu ya wema wangu kumsaidia issue zake za shule

mbona kwenye maelezo yako unasema mlichart mpaka mkawa wapenzi
 
Kuna rafiki yangu nimwite X ana mpenz wake nimwite Y, niliwaacha chuoni miaka 2 imepita, nilikuwa nafahamiana nao wote, sasa juzi akinitumia friend request kwa facebook, nikamkubalia, bas chart za hapa na pale mpaka ikafika tukawa wapenz, jamaa yake kaja kugundua na mawasiliano naye akaanza kunitukana kupitia simu mm sikumjibu, baadae akaja kugundua sio kweli akaomba msamaha yakaisha
sasa nikawa namsaidia mambo yake ya shule lakn kila nikamwambia X kuhusu mapenz yetu anasema yuko dilema, sijamgegeda bado, namsaidia mambo yake ya shule lakini nimemsaidia karibia nusu bado kidogo, sasa nafikiri kumwacha afanye yake au nimalizie tu kumsaidia, ushauri wenu wakuu

Hujaweka wazi katika shule wewe unamsaidia kitu gani? Ukisema msaada wako itakua rahisi kukushauri.
 
Kumbe me kilaza kiasi hiki jamani manake sijaelewa chochote.

Mi nahisi wewe umeelewa aisee maana mi naona maharage,njegere,mchele,mahindi,mchicha,nyama ya kuku,samaki vyote kwenye sufuria moja.....bora nijisomee comment tu
 
so juzi ulianza chat nae na mpaka leo tayari mlishaanza mambo ya mapenzi ila bado hujamgegedana yeye anasema yupo dilema!?...ebu wacha uzembe hapo huyo kajiweka style ya ki frend with bnefits...kamata umgegede u dnt have to date her.......na hivi unamsaidia basi wakati mpo pamoja wee anza kumshika atalainika mwenyewe
 
!
!
kwanza tatua utata uliopo katika hizo sehemu nilizobold kwanza....hebu tulia kwanza, vuta pumzi vizuri halafu uhadithie vizuri nikuelewe

Kuna rafiki yangu nimwite X ana mpenz wake nimwite Y, niliwaacha chuoni miaka 2 imepita, nilikuwa nafahamiana nao wote, sasa juzi akinitumia friend request kwa facebook, nikamkubalia, bas chart za hapa na pale mpaka ikafika tukawa wapenz, jamaa yake kaja kugundua na mawasiliano naye akaanza kunitukana kupitia simu mm sikumjibu, baadae akaja kugundua sio kweli akaomba msamaha yakaisha
sasa nikawa namsaidia mambo yake ya shule lakn kila nikamwambia X kuhusu mapenz yetu anasema yuko dilema, sijamgegeda bado, namsaidia mambo yake ya shule lakini nimemsaidia karibia nusu bado kidogo, sasa nafikiri kumwacha afanye yake au nimalizie tu kumsaidia, ushauri wenu wakuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom