Nimsaidie au Nimwache..

Nimsaidie au Nimwache..

Hapana DEMBA, ni hivi wakati namsaidia ilikuwa ni kwa upendo tu, lakn baadae nikadhaniwa na uhusiano nae wa mapenz, na jamaa yake akanitukana, juz wamekuja tena home nimewakaribisha wakamkuta galfrnd wangu jamaa akaanza kuelezea yote, na sasa galfrnd wangu amekasirika hataki kusikia kitu chochote toka kwangu.. Lakn yote kwa sababu ya wema wangu kumsaidia issue zake za shule
Mbona haueleweki unachotaka sasa,kama unamsaidia kwa upendo mara mpenz wako amekasirika,swali la msingi kwanini wewe umsaidie wakati mpenzi wake yupo? ni nini kinakufanya uone kama hasaidiki?
 
Ni hivi mkuu, hapo pekundu nilikuwa nachart nae sana nampigia simu, natoka nae out moja moja na story sanaa

hapo penye bluu, katika kumpigia simu huyo X nikawa naongea nae mpaka usiku mnene, jamaa yake akawa anapiga simu kwake na kwangu zote zilikuwa bussy kiasi cha kwamba akahisi na date na galfrnd wake, ndo akaanza kutoa matusi, baadae muda ulienda jamaa akajua sio kweli ikabidi aniombe msamaha, nikamsamehe

hapo penye purple, pamoja na kumsaidia sana katika mambo yake ya shule, na issue ndogo ndogo, care za hapa na pale sasa lakin ananiona kama vile mjinga

Swali
Nikasema sijui nimwache na maisha yake au Nimsaidie??

Asante kwa ushauri, kwa faida yangu mimi na wale ambao hawakunielewa mwanzo

!
!
nimekuwa mgumu kuelewa na hili pia....ni kwamba ulikuwa unatoka nae mara moja moja kwa intensheni gani!?au kwa sababu hukupiga mzigo ndio unasema hakuwa demu wako!?.......maana kwa mbaaali naona jamaa alikuomba msamaha kwa kuwa ulitake advantage ya huyo jamaa yake kutojua kwa uhakika nini kinaendelea, na alibahatisha tu na ndio maana jamaa akakuomba msamaha. Unless hata mimi ningekumaindi utatokaje na demu wangu?tena bila mimi kujua and at the same time unamsaidia mambo madogo madogo?. Mimi naona ulikosea mkuu, na ni wewe ndiye uliyetakiwa kuomba msamaha
 
hivi kwanini mnaquote post ndefu ndefu? hamjui wengine humu tunatumia phillips s3?!!

by the way, wacha niendelee kumnyonya maziwa huyu nisepe kazini!!
 
ningekuwa mnafiki leo hii nisingepost hii thread.. Nimemsaidia kwa sababu anahitaji msaada, sijamsaidia kwa sababu mpenz wa rafiki yangu

eti? unasemaje?

Kuna rafiki yangu nimwite X ana mpenz wake nimwite Y, niliwaacha chuoni miaka 2 imepita, nilikuwa nafahamiana nao wote, sasa juzi akinitumia friend request kwa facebook, nikamkubalia, bas chart za hapa na pale mpaka ikafika tukawa wapenz, jamaa yake kaja kugundua na mawasiliano naye akaanza kunitukana kupitia simu mm sikumjibu, baadae akaja kugundua sio kweli akaomba msamaha yakaisha
sasa nikawa namsaidia mambo yake ya shule lakn kila nikamwambia X kuhusu mapenz yetu anasema yuko dilema, sijamgegeda bado, namsaidia mambo yake ya shule lakini nimemsaidia karibia nusu bado kidogo, sasa nafikiri kumwacha afanye yake au nimalizie tu kumsaidia, ushauri wenu wakuu


hebu rudia tena?????????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom