Steve!
Did i hear you say that?
Mwacheni mwenzenu atimize wajibu tuliopewa na MUNGU kuijaza dunia!
...nadhani keshapigika na mambo yakaitikia na sasa analamba udongo na kunyonya ukwaju wa kuagiza toka bongo!!!
...😀 kumbe ndio dawa yao? ndio maana bw' mdogo wangu aliwahi kushauriwa ambandike kitoto kingine mkewe, maana (mkewe) alikuwa heshi kumsumbua sumbua!
WoS, majority ya wanaume hapa ni mid 20s to early 40s... do you think they have time to re-invent the wheel?! Rather late in my opinion. We're such old dogs...new tricks are tricky and arduous!"
I read that book when I was in my late teens! Tena kwa kujiiba sana usionwe na mzazi! Then I came to read it again years later.... kwa kweli ni kitabu chenye kufaa kusomwa na mtu yeyote anayetaka kuingia au aliyeko kwenye ndoa.JF members hawana excuse to miss out on this maana kiko hapa jamvini tayari.
jamani labda mtanisaidia, nifanyeje nimridhishe huyu mwanaume??? sasa kwangu kawa kama guberi haridhiki na mambo ninayompa chumbani japo hajishughulishi hata kuniandaa. na mbaya zaidi mume wangu huyu hata kama nikiwa kwenye 'siku zangu' anataka kuingia, jambo ambalo kikwetu ni mwiko. ukimkatalia anakutishia kutoka nje ya ndoa. .. jamani hii mwenzenu mbona imekuwa taabu tupu.
Pole sana dada kwa kukutana na jitu kama hilo.
Kitu cha maana mpe darasa kwamba kama njia imejaa tope basi jongoo hana budi kusubiri mpaka tope likauke. Mwambie asiwe na haraka wala papara wewe ni mali yake na uko kwa ajili yake sasa ulafi wa nini?, na inachukua siku ngapi kuwa katika siku zako?. Mambo ya kuruhusu njia nyingine nao si ustaarabu, muelimishe hivyo. Kama unaona haelekei kuelewa basi ita wazee waeleze ukweli bila shaka jamaa huyu hakupita jando ama kaenda jando la hospitalini (kutumia ganzi) maana huko hakuna mafunzo ya chumbani.
jamani mi naona sifikiriwi hapa! nyani ngabu unanishauri ninyonye 'koni' ndiyo nini hiyo mzee?
swala kubwa mume huyu ni kutoka kwa makabila yale ya' amri amri' kule kuzunguka ziwa maarufu hapa kwetu Tz, kitu ambacho nafikiria kinachangia na kutonijali mimi kwamba nahitaji kuridhishwa pia.
Kufanya mambo ya chumbani ni kama chakula hakuna lingine analowaza, hajali nimechoka wala niko kwenye hedhi.. angekuwa basi ananirusha roho kwa kachumbari nisingenungunika. Kwa upande wangu hata hayo niliyofundishwa kwenye kichen-party nashindwa kupractise kwake, kwani inapofika muda narukiwa kama mzoga. Akisha mwagilia na siku ndiyo imetoka hiyo.
Wakati mwingine natamani nimuulize kama alipobarehe alifundishwa jinsi ya kumridhisha mwanamke, ila naogopa kufanya hivyo.

Kwanza pole shost, kama ni wakati mgumu ni huu kwako. Mie nitakushauri zaidi kesho huko kwenye PM.jamani labda mtanisaidia, nifanyeje nimridhishe huyu mwanaume??? sasa kwangu kawa kama guberi haridhiki na mambo ninayompa chumbani japo hajishughulishi hata kuniandaa. na mbaya zaidi mume wangu huyu hata kama nikiwa kwenye 'siku zangu' anataka kuingia, jambo ambalo kikwetu ni mwiko. ukimkatalia anakutishia kutoka nje ya ndoa. .. jamani hii mwenzenu mbona imekuwa taabu tupu.
jamani mi naona sifikiriwi hapa! nyani ngabu unanishauri ninyonye 'koni' ndiyo nini hiyo mzee?
Kitchen party kwa kweli ni mfumojike. Halafu hata mafundisho yao - kadiri nilivyosikia - siyo daima yanamlenga kumsaidia mtu kwani magwiji (maprofesa) wengi hawakuolewa, au kama wameolewa wameachika. Na wakati mwingine wanamfundisha vitu vsivyosaidia kujenga ndoa yake. Ni mchanganyiko kwa mambo mazuri na ya kupotosha piaMsimdanganye mwenzenu! Huyu mumeo kwani alikuwa vipi tabia zake? Ni kitu kaanza siku za karibuni au?
Ndoa ni mzigo..inabidi uubebe hadi mwisho ....au kama mnaruhusiwa kuubwaga njiani kufuatana na imani yenu basi uamue mwenyewe
Kitchen party - mimi sizifagilii sana..ila huwa naona kuna tatizo. Iweje mwanamke afundwe kwenye Kitchen party halafu anaenda kukutana na mwanamume ambaye hana hili wala lile.Hivi what is the equivalen of kitchen party for men?
humo wanafundishwa nini?
Kitchen party ziko aina mbili......
jamani labda mtanisaidia, nifanyeje nimridhishe huyu mwanaume??? sasa kwangu kawa kama guberi haridhiki na mambo ninayompa chumbani japo hajishughulishi hata kuniandaa. na mbaya zaidi mume wangu huyu hata kama nikiwa kwenye 'siku zangu' anataka kuingia, jambo ambalo kikwetu ni mwiko. ukimkatalia anakutishia kutoka nje ya ndoa. .. jamani hii mwenzenu mbona imekuwa taabu tupu.
True..kutishiana hakufai for both couples. Hata mwanamke naye hatakiwi kuleta mgomo wa unyumba. La muhimu ni kushirikiana kama timu (work as a team). And don't be mean to each other. Don't say anything you can't take back.
Marriages are tough y'all and they are not for everybody.
Kuna Mkuu Kwetunikwetu hapa JF kaweka kitabu fulani cha zamani sana...The Perfumed Garden" -This is a good resource book... I would recommend it to men and women.Kwa kweli kina mafundisho mazuri sana.
Asante ndugu,Jee hicho kitabu mtugaji amekiandika kufuatia mazingira ya watu gani ?kwani lazima ukumbuke kuwa kuna mambo ndani ya jamii yetu huwezi kumfanyia mwanamke au mume na ni mambo ya kawaida. Kuna rafiki mmoja aliniambia mkasa uliomfika kwa kumuomba aliyekuwa Mkewe ku(PERFORMING FELLATIO)MKE alimtukana na kumwita majina machofu yote mnayoyaelewa katika ulimwengu,sasa tukirudi swali la mulizaji kuhusiana na mumeme kutomtayarisha kuna maswali hapa ya kujiuliza jee yeye menyewe huwa anajitayarisha kiasi gani ?hapa naelezea matayarisho ya usafi na zile nguo za mvutio kwa mume silazima mtu avae zile chupi za ukamba, Kanga ni kivutio cha kutosha ukijuwa jinsi ya kuivaa ,leo kuna wanawake wangapi hawajawahi hata siku moja kunyonywa miguu yao pamoja na vidole vyake kwa sababu tu havitamaniki mguu umejaa keya halafu haupo msafi mtu anashindwa hata kutafuta kipande cha tofali akawa najisugulia pale anapo koga, sasa leo kweli hali kama hiyo mume atakuwa na hamu ya kumtayarisha mke kama huyo ?mume ataingia ajichovyee nakujiondokea zake.