Nimpende nani kati ya Madame B na Nasema


Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Messages
4,398
Points
1,225
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2012
4,398 1,225
Nilikuaga na mupenzi akanizingua,na leo nataka Madame B nimuenzi,isije siku,miezi nae akanisumbua,
naogopa sana vichanga kama Nasema wasije wakanitenda nikazama na huku nina mapenzi ya ukweli.
Wazuri ni wengi ila kuwapata wenye mapenzi ya ukweli kama Madame B ndio balaa,wengi wajanja watoto wa mjini kama cacico wamejaa utapeli na tamaa za pesa kama Mirhea.
Yasiwe kama ya Mamndenyi kila siku mlimani city,usimtake ka Nasema nimteme ana hasira,mpole kama charminglady ila sauti ka darling Madame B akiwa analia kicheko kama cha asali ya moyo wangu Madame B,
baby Madame B ur my number one,uliniomba niconfess hadharani kuwa wewe ni zaidi nami nimefanya hivyo.baby ur my number one.
 
Last edited by a moderator:
Madame B

Madame B

Verified Member
Joined
Apr 9, 2012
Messages
28,170
Points
2,000
Madame B

Madame B

Verified Member
Joined Apr 9, 2012
28,170 2,000
Baby afu nadaiwa kodi ya nyumba.
Na Mange ameleta kiatu kizuri hiko.
Sasa....
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
Baby afu nadaiwa kodi ya nyumba.
Na Mange ameleta kiatu kizuri hiko.
Sasa....
Vuta goto kama huna akili nzuri ! Kuna fununu ana mpango wa kubana mjengo wa urisi, afu kwao kazaliwa peke yake.
Ukizidaka usintose kwenye sherehe .
 
mshana org

mshana org

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Messages
2,097
Points
1,225
mshana org

mshana org

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2012
2,097 1,225
Kesho natua tz ,ongezea na nguo za sikukuu my dia.au umesahau christmas inakuja?
Nina wasiwasi utachangiwa nauli ya kurudi ulikotoka.wana cc tujiandae huyu kaingia kwa bimkubwa kinyumenyume
 
measkron

measkron

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
3,786
Points
1,500
measkron

measkron

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
3,786 1,500
Baby afu nadaiwa kodi ya nyumba.
Na Mange ameleta kiatu kizuri hiko.
Sasa....
shosti Madame B naona umepata mchuchu, ha ha haaaaa! Chimbuvu karibu sana kwa huyu dada naona umefika hakuna mbaya naona keshakueleza anadaiwa kodi na Mange kaleta viatu vizuri, yeye haendi MlimaniCity kama Mamndenyi.
 
Last edited by a moderator:
Madame B

Madame B

Verified Member
Joined
Apr 9, 2012
Messages
28,170
Points
2,000
Madame B

Madame B

Verified Member
Joined Apr 9, 2012
28,170 2,000
shosti Madame B naona umepata mchuchu, ha ha haaaaa! Chimbuvu karibu sana kwa huyu dada naona umefika hakuna mbaya naona keshakueleza anadaiwa kodi na Mange kaleta viatu vizuri, yeye haendi MlimaniCity kama Mamndenyi.
hahahahahaha
measkron shost usinivunje mbavu zangu.
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Messages
4,398
Points
1,225
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2012
4,398 1,225
measkron hapo nimekupata,binti ameniambia anadaiwa millioni 3 ya kodi ya nyumbashosti Madame B naona umepata mchuchu, ha ha haaaaa! Chimbuvu karibu sana kwa huyu dada naona umefika hakuna mbaya naona keshakueleza anadaiwa kodi na Mange kaleta viatu vizuri, yeye haendi MlimaniCity kama Mamndenyi.
 
Last edited by a moderator:
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,492
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,492 1,250
Alianza Ruttashobolwa akalia, akaja Chilli akalia, tedo kawa mjanja kagundua kuwa kina cha maji hakipimwi kwa miguu yote, sasa umeingia wewe Chimbuvu all the best. but remember that is the girl your father warned you about..!!!
 
Last edited by a moderator:
Madame B

Madame B

Verified Member
Joined
Apr 9, 2012
Messages
28,170
Points
2,000
Madame B

Madame B

Verified Member
Joined Apr 9, 2012
28,170 2,000
Alianza Ruttashobolwa akalia, akaja Chilli akalia, tedo kawa mjanja kagundua kuwa kina cha maji hakipimwi kwa miguu yote, sasa umeingia wewe Chimbuvu all the best. but remember that is the girl your father warned you about..!!!
afu Baba V,
unajua wewe ndo mchawi wangu.
Sasa hayo yaliyopita umakumbushia ili iwe vipi?
Na akijaribu kunimwaga ni lazima unipe hifadhi.....!!!
Utake usitake.
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Messages
4,398
Points
1,225
Chimbuvu

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2012
4,398 1,225
Hahahahahah Baba V waswahili husema kila shetani na mmbuyu wake,simaanishi Madame B ni shetani bali naexplain kuwa hao hawakuwa fit or the rightmen for her,she deserves to be adored,to be luvd,thats it pa


Alianza Ruttashobolwa akalia, akaja Chilli akalia, tedo kawa mjanja kagundua kuwa kina cha maji hakipimwi kwa miguu yote, sasa umeingia wewe Chimbuvu all the best. but remember that is the girl your father warned you about..!!!
 
Last edited by a moderator:
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,687
Points
2,000
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,687 2,000
Madame B, nakupitia basi tukaangalia viatu na costume za kuogelea kwa mange. Muambie shem afanye walau kakiatu ka laki 3. Mjini kulindana. Afuvatume na wese kabisa.
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,296,019
Members 498,494
Posts 31,230,952
Top