Nimpende nani kati ya Madame B na Nasema

Mlikuwa hamjatulia,mnatumia muda mwingi sana ktk shughuli zenu na mkirudi home mko busy na laptop zenu hata mkienda lunch ama dinner badala ya kuzungumza na mrembo Madame B nyie mpo busy na simu na kuchat mnategemea nini?

Uzuri haya mambo yanaenda kizamzam, yako inakuja.
Niliambiwa hivihivi na loya rutta nikabisha.
 
Last edited by a moderator:
Mlikuwa hamjatulia,mnatumia muda mwingi sana ktk shughuli zenu na mkirudi home mko busy na laptop zenu hata mkienda lunch ama dinner badala ya kuzungumza na mrembo Madame B nyie mpo busy na simu na kuchat mnategemea nini?

Mpenzi wangu,wala usiwasikilize hao.
Kutwa wako na Laptop,ndo mana sikupenda kuendelea nao.
 
Last edited by a moderator:
Ndoto za alinacha ama? Heshima mbele ktk mali ya mtu

Baby usiku wa jana sitousahau kwa ulivyonipagawisha....Unajua nilikuwa nakuchukulia poa, kweli we ndo mtoto wa Ki-Tanga.
 
Mnakula kunywa na kuvaa,siku zinaenda,vya bure hupenda kupewa ...........kama .....

Wala usihofu nimesha kuelewa....We fanya kama jana tulivyokubaliana..Mchomoe za kutosha baby tu-spend msimu huu wa sikukuu.
 
Madame B, nakupitia basi tukaangalia viatu na costume za kuogelea kwa mange. Muambie shem afanye walau kakiatu ka laki 3. Mjini kulindana. Afuvatume na wese kabisa.
Ama kweli mjini shule yani munataka auze mpaka soks zake kwa uchunaji huu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom