Preta popote ulipo umeona jinsi Jamaa anajipendelea mwenyewe?
Njoo kwangu tupeane raha, achana na mtu Chake....
Preta popote ulipo umeona jinsi Jamaa anajipendelea mwenyewe?
Njoo kwangu tupeane raha, achana na mtu Chake....
:doh: :boink:Kwanza nikuulize wewe Meno yako ya mbele umeyachoka??:boxing:au huna kabisa ndo maana unakuwa mchokozi?????au unatamani kutembea na fimbo ya vipofu??wewe endelea nakuona unachezea kwenye 18 zangu!!:A S angry: Lawama sitaki nakuona
Nenda kwa fesibuku huko!!anamtu!
hapana......bora Mtu Chake......jasti in kesi......ofu woldi ekonomi dizasta.........

achana nao hao mpenzi....we si unajua kwako sipindui......kukuacha na kukurudia si umesema ushazoea......acha nivinjari na Mtu chake zis festivo sizoni......ikiisha narudi kwako....
Baunsa nini wewe...huoni mtoto mwenyewe anataka kuja kwangu..kijana kumbe ndio maana ulikua unaomba msaada kwa PJ eeehduh, baunsa kaja!
Huyu PJ asikusumbue
Si mdomo wake uko wazi
akija Preta tunamjaza senene wazima mdomini
hatafurukuta
afu tunabeba kimwana
hapana......bora Mtu Chake......jasti in kesi......ofu woldi ekonomi dizasta.........
achana nao hao mpenzi....we si unajua kwako sipindui......kukuacha na kukurudia si umesema ushazoea......acha nivinjari na Mtu chake zis festivo sizoni......ikiisha narudi kwako....
acha nivinjari na Mtu chake zis festivo sizoni......ikiisha narudi kwako....
acha nivinjari na Mtu chake zis festivo sizoni......ikiisha naenda kwa TANMO....
Kwa sentensi hii
Tanmo twende tukarefresh gazeti letu la udaku
Tumchafue huyu binti
" Preta wa jf agonganisha mabwana watatu, habari kamili ukurasa wa 2123"
Poa Mtu Chake umenitangulia, halua haina makombo....
Na ubaki kwangu...preta bora urudi kwa KakaKiza ..lakini si TANMO
- We jidanganye tu....
Poa Plan B ni kwenda kwa babu wapinzani wangu wote wageuke mijusi..
Dah, kwa nini mkuu?
Mkuu tumetoka mbali ujue.
Sawa lakini kwa Preta hapana..halafu sitisha huo mpango wako wa kwenda kwa Babu..au Babu wa loliondo?
Babu wa Loliondo atanitoa nduki, naenda kwa babu mwingine.. we si unajifanya kidume Bana:washing:
Nenda mkuu labda njia hiyoo..itakusaidia Preta kukupenda...ila Kumbuka baba Mtu wa kigoma..mama Mtu wa tanga...nami nimekulia Sumbawanga...kuwa makini..TANMO..icje kukurudia hilo fataki...hahahahahaha
Mhh, hii hatari sasa..
Kha! unamaanisha nini hapo? yaani kila mtu nitakae mtokea atanikubali? au mimi nitamkubali kila atakae nijia? hahahahaNimpende nani...Nimpende nani
wazuri JF ni wengi ila kupata wa ukweli ni balaa
wengi nia wajanja watoto wa mjini wamejaaa Tamaa
asiwe kama FF kila kitu kupinga,awe kama Preta..ili nipate raha
sio Mwali naogopa kila mtu atamkubali....
JF chit Chat....
Kha! unamaanisha nini hapo? yaani kila mtu nitakae mtokea atanikubali? au mimi nitamkubali kila atakae nijia? hahahaha