Nimpe adhabu gani mdogo wangu?

Nimpe adhabu gani mdogo wangu?

Hahaha wivu tu unakusumbua wewe!! Na sisi wanaume sometimes tunakua na wivu wa "kitoto" kwa ndugu zetu wa kike.
 
Yaani unemuacha dogo wa kiume bila hata kumchapa kibao....??? Ni udhaifu...!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mdogo wako ana umri gani kwani? Muite mwambie hukupendezewa na ulichokiona, mkanye umpe hasara za hao vijana, kama anasoma umsisitizie kukazania masomo, mkumbushe kuhusu mimba na maradhi, usitumie hasira ila kuwa serious katika hayo maongezi, ukimaliza mfate yule kijana kaa nae umfahamishe kuwa hutapenda kumuona tena akiwa na mdogo wake, siku ukimuona utamfungulia kesi n.k. vitisho vya kawaida mpe, huyo mvulana mpe mkwara wa kisawa sawa, ila dada ongea nae kwa busara, mana sie watoto wa kike ukiongea kwa hasira ndo kama atakukomoa Zaidi kwa ulivyompiga au kumtukana yani ni kama unampa ujasiri wa penzi lake, ila ukiongea nae kwa busara kumuonyesha kiasi gani unampenda na hutaki aibu yoyote ataona huruma, na kuwaza mazuri unayomfanyia na upumbavu anaofanya, atajirekebisha na kuwa makini, na usione aibu kumeeleza anadeserve wanaume wa aina gani, mponde huyo kijana wake n.k.
Asma huwa napenda sana ushauri wako kila sehem unapochangia!!

Kwanini usiwe mama tery Jr?
 
Haiwezekani hukumtembezea kichapo huyo kidume mwenye guts za kufika nyumbani kwako.

Anyway;
Unataka adhabu gani za zamani enzi zetu au za kisasa????

Kama unataka za kisasa...kaa chini zungumza na dada yako na bibi yako anayefuga hayo maradhi

Kama unataka za enzi zetu, una option mbili...1. Mrudishe kwa wazazi au kijijini
2. Mfukuze aende kwa huyo mwanaume

Kazi kwako
Ya kumrejesha kijijini hiyo ndio anastahili
 
Yaani na polisi utapelekwa, ila now akawatazamaaa, then akaondoka kwenda kijiweni, mwisho wa siku kaja kuomba ushauri afanye nini, daaah!! Raha kweli.
Angekuwa ni mdada mkubwa hapo sawa unaweza kusema ujifikirie cha kufanya/kuomba ushauri..Ila katt cha la saba kweli unakuja kuomba ushauri
 
Hivi kijitu kinaingia ndani mwako kutia najisi unakitizama tu, kwanini hukumchangamsha viganja japo tumakofi tuwili tu?
Yaani sijaielewa akili ya mleta thread eti akawatizama kisha akaondoka hakika!!!!!!?????? Miaka 14 au ndo uzungu huu dah.
 
"Habit always develop if no one take reaction to secure it ,actions attempt the developing habit towards emotional developed" says by g vizy
 
mshauri tuu aachane na vijana was mtaani kwan hawana heshima watamtangaza mtaa mzima ikawa aibu kwako na kwake
 
subutuu hakuna kitu kinachouma kama dada yako kugegedwa, usikie tu kwa mwenzio hahhhahaahaha
jamaa kapigwa butwaa kumuona dada yake yuko chini tena na kanga nusu uchi.swali mbona yeye hudoo the same thing?


swissme
 
Back
Top Bottom