Nimpe adhabu gani mdogo wangu?

Nimpe adhabu gani mdogo wangu?

mwambie atafute wanume wenye pesa wawe wanampeleka gesti aache kutembea na wanaume wasiokuwa na adabu ..................kumbe inauma eeeeh mnavyogegeda wadada na wadogo wa wenzio uanajisikiaje?
Kuna watu mna ushauri wa nguvu za giza balaa
 
Ndo watt wa siku hizi hao mpnz..We nilikukuta sealed na miaka 29..Hawa wa siku hizi genye sijui wanazaliwa nazo..
Yaani inasikitisha acha tu, malezi ni magumu mnooo nowdays, ila we are all to blame.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Teh teh...Mpendwa hizo options za zamani mbona za kibabe hivyo?
Zamani hakukuwa na disscussion aiseee, anapewa mbata hadi unasahau jina, alafu na kutimuliwa juu utajua utakokwenda, daaah!!
 
Kweli aiseee, kucha wachape watoto wa wenzao wakiguswa wa kwao wanakuwa wakaliii, ila hili ni janga std7!!!
kama std 7 duh inabidi ampe semina ya matumizi ya kinga .. na madhara ya kuanza mapenzi mapema.. ila std 7 nadhani wapo shule
 
kama std 7 duh inabidi ampe semina ya matumizi ya kinga .. na madhara ya kuanza mapenzi mapema.. ila std 7 nadhani wapo shule
Maybe alimaliza last year akafeli, na kama ana hizo guts basi alianza kitambo sana.
 
ha ha ha mkuu simfahamu ila nauhakika akaula dada au mdogo wa mtu
Nilimskia hata kiongoz wa din flan akisema ukiwazin watoto ama wake wa wenzio lazima nawe uziniwe mwanao wakumzaa,ama mkeo,dada zako,ama mama yako kwa kiwango kile kile ulichowazin....USEMAYO WENDA N KWELI.
 
Zamani hakukuwa na disscussion aiseee, anapewa mbata hadi unasahau jina, alafu na kutimuliwa juu utajua utakokwenda, daaah!!
Teh teh..Yani hapo wote hao wanachezea bakora on the spot zen unamchukua kijana unampeleka kwao napo anakula za kutosha..Ila siku hizi ukimchapa mtt wa mtu subiri maza ake atakavyokuja juu
 
Teh teh..Yani hapo wote hao wanachezea bakora on the spot zen unamchukua kijana unampeleka kwao napo anakula za kutosha..Ila siku hizi ukimchapa mtt wa mtu subiri maza ake atakavyokuja juu
Yaani na polisi utapelekwa, ila now akawatazamaaa, then akaondoka kwenda kijiweni, mwisho wa siku kaja kuomba ushauri afanye nini, daaah!! Raha kweli.
 
amna bwana wanasema ukiwa idle ndiyo mambo mabaya yakuja akilini
Sio mara zote, thats why anatakiwa aongee nae ili hata ajue hayo mambo kayaanza lini, then ampe elimu tu juu ya hilo alifanyalo na madhara yake.
 
Back
Top Bottom