Nimpe adhabu gani mdogo wangu?

Nimpe adhabu gani mdogo wangu?

Nimeishia kushanga.........unakuta mdogo wako aliyemaliza darasa 7 2015 amelaliwa.juu na dume unawaangalia halafu unakwenda kijiweni. Basi nawe utakuwa umemaliza darasa 7 mwaka 2014.......ongea na huyo binti haraka kabla hujalea magonjwa kama sio mimba......kama huwezi kuongea naye mtafute shangazi au dada mkubwa amkalishe amweleze madhara ya ngono na mengineyo
 
Foolish age hiyo...haichagui eneo...sebureni, jikoni etc ndio maana ma house boy wanafaidigi sanaaaa.

Hapo, unahitaji ufanye councelling kubwa sana ukielezea madhara ya hako ka mchezo....kama haelewi tumia extreme measures, mfano biti za maana, control muda wake wa kutoka na kuingia , piga beat za maana kwa jivyo vi boyfriend vyake etc.

NB. Usipoziba ufa utajenga ukuta
 
Ungetembeza kichapo kikali halafu baada ya hapo unamkalisha chini unamkanya na kumhasa
 
Yani ungewapa kichapo wote hapo hapo. Dada ako na bwana ake wote hsmnazo. Na huo ndo mchezo wao.
 
Duh, inasikitisha sana ...'
Kwani wewe upo single?
Je mdogo wako ana mjua shemeji yake au zake?

Mshauri kwa undani mno, mpe focus ya maisha yake, mliwaze mfanye ajiamini, mfundishe kuhusu wanaume, mpe target za kimaisha, mpe ideal life ya ndoa, mwambie kila kitu kwani itamsaidia, mwambie lile ni kosa alilofanya na hakikisha anakuomba msamaha,baada ya hapo getini asitoke, mpaka ukimpeleka beach au shopping.

Nina mengi ya kusema light ningekaona hako kabinti. Sema ndo hivyo nipo porini.

Pole sana...
 
Mdogo wako ana umri gani? Je, anasoma? Huna adhabu ya kumpa zaidi ya kumwambia madhara yanayotokana na ngono zembe. Mpe elimu kuhusu matumizi ya condom, na kujiheshimu.
Mtanzamo mzuri sana kwa kipindi huko ukweli na uwazi utasaidia sana kumuepusha na mengi.
Mimba na maradhi ya ngono zembe zinaepukika kwa mafunzo.
Ikibidi amtambulishe kabisa na awe muaminifu na watumie condom Muda wote Kama washaanza kufanya mapenzi na Kama bado pia akumbuke condom Muda wote
 
anza na shemeji na ungekumbuyka ungemuitia mwizi hapo
 
Habari zenu wana JF!

Ninaomba ushauri kwenu, juzi nilirudi nyumbani muda ambao si kawaida yangu. Kawaida narudi kuanzia mida ya saa 1 moja jion. Juzi nilipofika ofisini niliitwa kwa MD akaniambia natakiwa kujiandaa kwa safari ya kikazi nje ya Dar. akaniambia nianze maandalizi ya safari. Nikaamua kurudi nyumbani.

Nilipoingia getini nikamkuta bibi amelala kwenye mkeka sikuona busara kumuamsha. Nikaingilia mlango wa jikoni, bahati nzuri haukufungwa kwa funguo. Nikaingia nilipofika sebuleni nikamkuta mdogo angu wa kike na kijana fulan wa hapa hapa mtaani wanalambana ulimi. Mdogo angu chini kidume juu amemlalia, mdogo angu alivaa khanga tu nayo ilifunguliwa.

Nilipatwa na mshangao kisha hasira sana, nikawatazama kwa sekunde kadhaa kisha nikaamua kuondoka kwenda kukaa kijiweni bila kuwasemesha.

Naomba ushauri nimfanyeje huyu mdogo angu maana hadi sasa sijaongea nae.
nina wasiwasi ulivyoondoka ndio ukawapa mwanya wamalizie kama walishafika kileleni wasambaa huita kama mbwai mbwai
 
Mdogo wako ana umri gani kwani? Muite mwambie hukupendezewa na ulichokiona, mkanye umpe hasara za hao vijana, kama anasoma umsisitizie kukazania masomo, mkumbushe kuhusu mimba na maradhi, usitumie hasira ila kuwa serious katika hayo maongezi, ukimaliza mfate yule kijana kaa nae umfahamishe kuwa hutapenda kumuona tena akiwa na mdogo wake, siku ukimuona utamfungulia kesi n.k. vitisho vya kawaida mpe, huyo mvulana mpe mkwara wa kisawa sawa, ila dada ongea nae kwa busara, mana sie watoto wa kike ukiongea kwa hasira ndo kama atakukomoa Zaidi kwa ulivyompiga au kumtukana yani ni kama unampa ujasiri wa penzi lake, ila ukiongea nae kwa busara kumuonyesha kiasi gani unampenda na hutaki aibu yoyote ataona huruma, na kuwaza mazuri unayomfanyia na upumbavu anaofanya, atajirekebisha na kuwa makini, na usione aibu kumeeleza anadeserve wanaume wa aina gani, mponde huyo kijana wake n.k.
Yaani umkute kidume ndani kwako tena na mdogo wako halafu uendelee kuwabembeleza?hapo ni kichapo tu mengine yataendelea ndo heshima irudi.
 
Yaani umkute kidume ndani kwako tena na mdogo wako halafu uendelee kuwabembeleza?hapo ni kichapo tu mengine yataendelea ndo heshima irudi.
Unajidanganya alokwambia kipigo kwa mtoto wa kike kinasaidia nani?? huyo njemba ndo wakula kichapo huyo dada maelezo ya busara yatamjenga Zaidi.
 
mwambie atafute wanume wenye pesa wawe wanampeleka gesti aache kutembea na wanaume wasiokuwa na adabu ..................kumbe inauma eeeeh mnavyogegeda wadada na wadogo wa wenzio uanajisikiaje?
tehtehteh
 
Haiwezekani hukumtembezea kichapo huyo kidume mwenye guts za kufika nyumbani kwako.

Anyway;
Unataka adhabu gani za zamani enzi zetu au za kisasa????

Kama unataka za kisasa...kaa chini zungumza na dada yako na bibi yako anayefuga hayo maradhi

Kama unataka za enzi zetu, una option mbili...1. Mrudishe kwa wazazi au kijijini
2. Mfukuze aende kwa huyo mwanaume

Kazi kwako
Hivi hapo lilipotokea tukio ni kwake au kwao??
 
mwambie atafute wanume wenye pesa wawe wanampeleka gesti aache kutembea na wanaume wasiokuwa na adabu ..................kumbe inauma eeeeh mnavyogegeda wadada na wadogo wa wenzio uanajisikiaje?
Hahaha[emoji23] amuonye aachane na vivulana (boys) atembee na mwanaume (Gentleman).......

Mrudishe kijijini
 
Back
Top Bottom