Nimpe adhabu gani mdogo wangu?

Nimpe adhabu gani mdogo wangu?

Wanavyogegeda wadogo zetu tena kwa kuwadanganya na vihela vyao vya mawazo wanaona raha.
Mkuki kwa nguruwe
 
jamaa kapigwa butwaa kumuona dada yake yuko chini tena na kanga nusu uchi.swali mbona yeye hudoo the same thing?


swissme
Sio the same thing Mpwa, pengine ni more than that..... namshauri aongee na dogo tu au atafute mtu wa kuongea nae kasha amuondoe hapo home maana Kinana mtu mzioma kuishi na Dada yako wakati mwingine huwa ni changamoto.
 
Aisee, ningetandika mpaka ashindwe tembea!

Kama ni mdogo ingekuwa funzo kama ni mkubwa ingekuwa adhabu kwanza kwa kufanya zinaa pili kifanyia nyumban kwangu tatu kufanyia kwangu na bibi yupo!
 
Hili jambo ukiliona usifumbie.macho aisee, 2010 tulikuwa na mdogo wetu wa kike, sasa mdogo wangu wa kiume alikuwa anapita kawakuta mdogo wangu wa kike amesimama na mwanaume barabarani usiku, aisee yule dogo akiwakata gwala wote chini wakaangukia visogo( occiput) hakuwasemesha walivyoinuka kutazama wakakuta ni bro daah hamu iliwaisha na ikawa ndio mwisho,
 
Kwanza ulitakiwa huyo dogo wa kiume umgonge makofi yakutosha ili awe na heshima na kwako na mdogo wako kaa naye ongea naye kuhusu faida na hasara ya ngono katika umri mdogo
 
mpe ushauri wowote kati ya huo uloambiwa na wenzangu hapo juu lakn cha mwisho na cha lazima ni bakora za kutosha mkuu, amekudharau sana wew pamoja na bibi. ale uncountable stick.
 
na kwa kitendo cha kuwaacha na kuondoka kimya kimya, ni wazi kabsa jamaa alimtafuna huyo mdgo wako.
 
..tena home,sebuleni?
Wote wawili wangelamba fimbo za tako,hakuna huruma.
 
Kabla ya kuchukua hatua;

1. Hiyo haikuwa Mara ya kwanza kwa mdogo wako kuingiza shemeji yako ndani
2. Huyo uliyemtaja kama " bibi" anajua kila kitu kinachoendelea.
3. Kwa mahusiano ya dada na kaka sioni adhabu unayoweza kumpa.Mwambie tu awe na busara katika kufanya mambo yake.
 
Habari zenu wana JF!

Ninaomba ushauri kwenu, juzi nilirudi nyumbani muda ambao si kawaida yangu. Kawaida narudi kuanzia mida ya saa 1 moja jion. Juzi nilipofika ofisini niliitwa kwa MD akaniambia natakiwa kujiandaa kwa safari ya kikazi nje ya Dar. akaniambia nianze maandalizi ya safari. Nikaamua kurudi nyumbani.

Nilipoingia getini nikamkuta bibi amelala kwenye mkeka sikuona busara kumuamsha. Nikaingilia mlango wa jikoni, bahati nzuri haukufungwa kwa funguo. Nikaingia nilipofika sebuleni nikamkuta mdogo angu wa kike na kijana fulan wa hapa hapa mtaani wanalambana ulimi. Mdogo angu chini kidume juu amemlalia, mdogo angu alivaa khanga tu nayo ilifunguliwa.

Nilipatwa na mshangao kisha hasira sana, nikawatazama kwa sekunde kadhaa kisha nikaamua kuondoka kwenda kukaa kijiweni bila kuwasemesha.

Naomba ushauri nimfanyeje huyu mdogo angu maana hadi sasa sijaongea nae.
Vp mrejesho?
 
Mleta uzi huyu lazima ni malaya tu huyu. Ukifanya, utafanywa tu maana kiendacho lazima kirudi
 
Back
Top Bottom