Nimpe adhabu gani mdogo wangu?

Nimpe adhabu gani mdogo wangu?

Nikushauri tu mkuu kwa usalama wa uhai wako...Usijaribu siku ingine kurudi hme kwa kunyata never....Kuna kisa kimoja jamaa alikuwa anamwamini sana mke wake na walikuwa watani akamwambia mkewe leo sirudi hme nimepata dharura ndoa yao ndo ilikuwa changa first born alikuwa na miaka 3 hivi...Jamaa ilipofika mida ya saa 2 usiku akaurudi hme akafungua mlango wa sebulen ulikuwa wazi hakukuta mtu akaelekea chumbani kwao ili amfanyie wife Suprise, jamaa ile kufungua mlango wa kuchumba alianguka chini akapoteza fahamu hse girl akapiga ukunga watu kwenda wakamchukua jamaa hospitali baada ya masaa kadhaa jamaa akazinduka akasema mke wangu kwa nini umenifanyia hvyo...Jamaa akazimia tena..wife ake nyuma akafungasha kila kitu akabeba na mtoto akala kona...Hse girl ndo akaachwa na ndo alitoa maelezo kuwa wife alikuwa na jamaa mwingine ndani...
Sawa manuu
 
mwambie atafute wanume wenye pesa wawe wanampeleka gesti aache kutembea na wanaume wasiokuwa na adabu ..................kumbe inauma eeeeh mnavyogegeda wadada na wadogo wa wenzio uanajisikiaje?

MH mi napita tuuuuu ila ...........MAPENZI YA PESA YAPO KWA WACHAGA TU hahahah
 
Haiwezekani hukumtembezea kichapo huyo kidume mwenye guts za kufika nyumbani kwako.

Anyway;
Unataka adhabu gani za zamani enzi zetu au za kisasa????

Kama unataka za kisasa...kaa chini zungumza na dada yako na bibi yako anayefuga hayo maradhi

Kama unataka za enzi zetu, una option mbili...1. Mrudishe kwa wazazi au kijijini
2. Mfukuze aende kwa huyo mwanaume

Kazi kwako
Teh teh...Mpendwa hizo options za zamani mbona za kibabe hivyo?
 
mwambie atafute wanume wenye pesa wawe wanampeleka gesti aache kutembea na wanaume wasiokuwa na adabu ..................kumbe inauma eeeeh mnavyogegeda wadada na wadogo wa wenzio uanajisikiaje?
We Miss Chagga! Mbona km unatoa ya moyoni...
 
Back
Top Bottom