miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,105
kama jamaa hakumalizabasi ni mwogauliamua kuondoka ili wamalizie?!
kama jamaa hakumalizabasi ni mwogauliamua kuondoka ili wamalizie?!
Mdogo wako ana umri gani? Je, anasoma? Huna adhabu ya kumpa zaidi ya kumwambia madhara yanayotokana na ngono zembe. Mpe elimu kuhusu matumizi ya condom, na kujiheshimu.

Haha kanihadithia leo alimaliza na akarudia kadhaa...kama jamaa hakumalizabasi ni mwoga
Hata mimi nimejiuliza swali hili asant kwa kuuliza.uliamua kuondoka ili wamalizie?!
daah kama kamaliza la saba hata kibano mpe then mpige mkwara mkali sana aisee coz bado mdogo sana...ila sema kama ameshaanza hizo habari mkuu kwakweli un mtihani..kulea vibinti vidogo ni kaz sana aisee...halafu ongea na huyo bibi yake ne haiwezekan mtoto anafanya uchafu ndan yy hajuiHabari zenu wana JF!
Ninaomba ushauri kwenu, juzi nilirudi nyumbani muda ambao si kawaida yangu. Kawaida narudi kuanzia mida ya saa 1 moja jion. Juzi nilipofika ofisini niliitwa kwa MD akaniambia natakiwa kujiandaa kwa safari ya kikazi nje ya Dar. akaniambia nianze maandalizi ya safari. Nikaamua kurudi nyumbani.
Nilipoingia getini nikamkuta bibi amelala kwenye mkeka sikuona busara kumuamsha. Nikaingilia mlango wa jikoni, bahati nzuri haukufungwa kwa funguo. Nikaingia nilipofika sebuleni nikamkuta mdogo angu wa kike na kijana fulan wa hapa hapa mtaani wanalambana ulimi. Mdogo angu chini kidume juu amemlalia, mdogo angu alivaa khanga tu nayo ilifunguliwa.
Nilipatwa na mshangao kisha hasira sana, nikawatazama kwa sekunde kadhaa kisha nikaamua kuondoka kwenda kukaa kijiweni bila kuwasemesha.
Naomba ushauri nimfanyeje huyu mdogo angu maana hadi sasa sijaongea nae.
Hata mimi nimejiuliza swali hili asant kwa kuuliza.
ha hahaha safi sana ..Haha kanihadithia leo alimaliza na akarudia kadhaa...
Hahaha...ha hahaha safi sana ..
Kesho atakuja WANAJAMVI naomben ushaur mdogo wangu ana mimba ya wik3 nimtoe ama lah?kwan aliyempa mimba n kjina wa mitaan hana mbele wala nyuma.alishindwa kutoa kadi na mchezaji anauliwa uwanjani...
Na ripoti isomeke vp mkuu MKUU?Ripoti polisi
Tunarudia tena ana umri gani?Mimi nina hasira sana. Nilishalala polisi mara kadhaa. Nilipewa ushaur nasaha kuwa nikiwa ktk mazingira shawishi niondoke. Navyojijua ningewavunja