Nimpate wapi mwanamke kama huyu hapa Bongo??

Nimpate wapi mwanamke kama huyu hapa Bongo??

Whisper

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
502
Reaction score
207
6eef4e12352d2add55214bc19c10af17.jpg

Proud of her natural hair, wewe je??
 
Me nlifikiri kabeba kikapu kwa mdomo...!!
 
nyie ndo mnaishia kubadilisha kila kukicha maana nywele zikinyolewa inakuwaje kama unampendea nywele? unaombwa elfu 50 ya salon unalalamika nini wakat ndizo ulizopendea?
 
me nilitamani niwe na natural hair, i admire african women with huuuge afros. Lakini kipilipili kinachotembea kwenye ukoo wetu, a man akiinsist that he wishes for natural hair, mawifi tutamchangia nakoz
 
Umpate wapi? ... Unauliza vumbi stoo... Nenda mitaa ya ambiance na africa sana...mbona wengi...
 
Back
Top Bottom