Wewe unaijidhani msomi huna tofauti yeyote na mtu ambae hajamaliza hata darasa la saba. Nina hakika na darasa la saba lake huyo mama kwa kupitia kazi yake anaweza kumlea mtoto wake bila ya tabu yeyote. Kwa tamaa zako za kipumbavu umemrubuni akadhani unampenda, kakukubali sasa ushatimiza dhamira yako unaanza kumdhalilisha kwa elimu yake duni na kazi yake. Kama wewe wa hali ya juu sana kwanini usiende kula Holiday Inn unashindia hapo hapo kwa mama ntilie.Wakuu,
Kuna mama ntilie flani hapa Arusha kaniganda hatari,nilikuwa na lengo la kuchapa tu na kuingia mitini,lakini naona kaniganda na hana mpango hata wa kuachana na mie.
Kiumri kanizidi kama miaka mitano,ana mtoto mmoja wa miaka 7,elimu kaishia la saba,sasa mimi mtu wa hivyo nimpeleke wapi wakuu.
Nipeni mbinu za kumkwepa kisayansi.
kwa hyo ushauri wako ni nin?Wewe unaijidhani msomi huna tofauti yeyote na mtu ambae hajamaliza hata darasa la saba. Nina hakika na darasa la saba lake huyo mama kwa kupitia kazi yake anaweza kumlea mtoto wake bila ya tabu yeyote. Kwa tamaa zako za kipumbavu umemrubuni akadhani unampenda, kakukubali sasa ushatimiza dhamira yako unaanza kumdhalilisha kwa elimu yake duni na kazi yake. Kama wewe wa hali ya juu sana kwanini usiende kula Holiday Inn unashindia hapo hapo kwa mama ntilie.
Kwani ulipolala nae alikuwa na tofauti yeyote na mwanamke wa ofisini mwenye degree? Msipende kudhalilisha watu kutokana na hali zao kijamii au kielemu.
Hao wenye phd ndio wanao waliza kila siku humu, wakati unamtongoza hukujua elimu yake au ulimpeleka wapi hapo mwazo mpaka sasa utuulize sie ati utampeleka wapi? Na hilo litakuja kukurudia tu tena utakuja achwa na huyo wako mwenye degree, atajiuliza hivyo hivyo hili boya nilipeleka wapi na wenzio watakumegea, acha dharau, ogopa chozi la mwanamke.Anaweza akawa ameishia darasa la saba lakini kichwani yuko vizuri kuliko aliyefika chuo. Pili wewe unataka mapenzi au elimu. Elimu ya mwanamke itakusaidiaje kwa mfano.
Inaonekana kabisa yeye ndio kamganda dada wa watu.Acha uboya la saba na pusy wapi na wapi sasa
Katafute mume akuoe maana uanaume ushakushinda. Marioo mkubwa we.kwa hyo ushauri wako ni nin?