Nimkwepe vipi huyu mama ntilie?

Nimkwepe vipi huyu mama ntilie?

Anaweza akawa ameishia darasa la saba lakini kichwani yuko vizuri kuliko aliyefika chuo. Pili wewe unataka mapenzi au elimu. Elimu ya mwanamke itakusaidiaje kwa mfano.
Una uliza ni wazi huyu ni gold digger aka Mario,kala misosi ya watu sa hivi anajidai kukimbia.mwehu huyu
 
Wakuu,kuna mama ntilie flani hapa arusha kaniganda hatari,nilikua na lengo la kuchapa tu na kuingia mitini,lakin naona kaniganda na hana mpango hata wa kuachana na mie.kiumri kanizidi kama miaka mitano,ana mtoto mmoja wa miaka 7,elimu kaishia la saba,sasa me mtu wa hvyo nimpeleke wapi wakuu.nipeni mbinu za kumkwepa kisayansi.
Kwani mbinu za kumpata ulizipata wapi?
 
ndio kawaida yetu sisi wanaume ,tukipewa papuchi na tusiporizika nayo tunanza kutafuta visingizio vya kuanza kukimbia.Uyo endelea kumpa anachotaka kwa vile ulishaonja endelea kujilia polepole.
 
Sasa jiandae na kurogwa kwa kuwa ulimdanganya huyo mama
 
Fanya hivi mvutiee moraliiii andaa mechi kwa Mara ya mwisho piga goliiiii ka sitaaa hivii ukimaliza muage gafla kuwa unaondoka hata kama ni saa 8 ya usiku hapo ndo malumbano yatakapo anzia but usipaniki then ondoka game kushineii akikutafita usijibu wala kupokea sms zakee
 
Kusema ukweli kunakushinda nini?
Au bado unakula bure?
 
Fanya hivi mvutiee moraliiii andaa mechi kwa Mara ya mwisho piga goliiiii ka sitaaa hivii ukimaliza muage gafla kuwa unaondoka hata kama ni saa 8 ya usiku hapo ndo malumbano yatakapo anzia but usipaniki then ondoka game kushineii akikutafita usijibu wala kupokea sms zakee
hapo poa mkuu,nimekusoma vizur kabisa.ngoja nitajitahdi kuapply hii methodology.
 
Back
Top Bottom