Nimkwepe vipi huyu mama ntilie?

Nimkwepe vipi huyu mama ntilie?

Acha dharau ww kua mtu mzima ni pamoja nakujua kua kila mwanamke ana thamani yake sio kisa umepewa uchi ndo unaleta dharau muache hivo hivo tu kwan wewe ndo wa kwanza kwake
 
Wewe mwenye elimu kubwa kutwa upo mitandaoni kutunga vijistory vya uongo. Unadharau darasa la saba wakati wewe umemjua kupitia hiyo kazi yake. Kwani hiyo sio kazi halali?. Pia yeye kua darasa la saba hakuondoi ubinadamu wake, mbona kwenye mitandao tumemuona msomi wa PHD analalamika maisha ya mtaani yalivyo magumu?
Alafu Mimi sijamuona wa LA saba akidhalilika kiasi kile aiseee.
 
Wanaume wa Arusha katika ubora wao..
 
Shida iko wapi kwani kuna papuchi tofauti ya darasa la Saba na chuo


Upo sawa kabisa wengine wamezidi bana kuzisifia ka zina dhahabu ama nini. Uwe la saba, college, varsity zote thawa tu.
 
Back
Top Bottom