Nimkwepe vipi huyu mama ntilie?

Nimkwepe vipi huyu mama ntilie?

Kwan papuchi zinatofautiana kulingana na elimu mkuu?

Haya ndo madhara ya kichwa chini kusimama bila kushirikisha kichwa cha juu
 
Wakuu,

Kuna mama ntilie flani hapa Arusha kaniganda hatari,nilikuwa na lengo la kuchapa tu na kuingia mitini,lakini naona kaniganda na hana mpango hata wa kuachana na mie.

Kiumri kanizidi kama miaka mitano,ana mtoto mmoja wa miaka 7,elimu kaishia la saba,sasa mimi mtu wa hivyo nimpeleke wapi wakuu.

Nipeni mbinu za kumkwepa kisayansi.
sasa ndugu yangu kwani yeye sio mwanamke? wakati unamuomba akupe utamu wake hukujua kuwa ana umri mkubwa kuliko wa kwako? ulitarajia nini baadae? ukiona mwanamke anakufuata kwa mapenzi ujue ameridhika na wewe suala ni kuanza nae mipango ya maisha mipango mingine itafuata.. kuwa nae ukiona mwenendo wake haukuridhishi ndipo unachukua nafasi yakumwambia ukweli na si vinginevyo aisee chaliiii wangu.
 
Kipindi unamtongoza ulitupatia hizo taarifa?
Yawezakuwa ulidoea chai ya bure wewe.
 
Wakuu,

Kuna mama ntilie flani hapa Arusha kaniganda hatari,nilikuwa na lengo la kuchapa tu na kuingia mitini,lakini naona kaniganda na hana mpango hata wa kuachana na mie.

Kiumri kanizidi kama miaka mitano,ana mtoto mmoja wa miaka 7,elimu kaishia la saba,sasa mimi mtu wa hivyo nimpeleke wapi wakuu.

Nipeni mbinu za kumkwepa kisayansi.
Mle tigo
 
Gandana naye Mkuuu!!! Mapishi swafi kabisa na mengine UTAZOEA taratibu kama ulivyojifariji TARATIBU kumgegeda🙂
 
Wakuu,

Kuna mama ntilie flani hapa Arusha kaniganda hatari,nilikuwa na lengo la kuchapa tu na kuingia mitini,lakini naona kaniganda na hana mpango hata wa kuachana na mie.

Kiumri kanizidi kama miaka mitano,ana mtoto mmoja wa miaka 7,elimu kaishia la saba,sasa mimi mtu wa hivyo nimpeleke wapi wakuu.

Nipeni mbinu za kumkwepa kisayansi.
Ni PM namba yake
 
we kula mzigo omba matumizi kwa sana harafu endelea na harakati zako atajiondoa mwenyewe tu
 
Wakuu,

Kuna mama ntilie flani hapa Arusha kaniganda hatari,nilikuwa na lengo la kuchapa tu na kuingia mitini,lakini naona kaniganda na hana mpango hata wa kuachana na mie.

Kiumri kanizidi kama miaka mitano,ana mtoto mmoja wa miaka 7,elimu kaishia la saba,sasa mimi mtu wa hivyo nimpeleke wapi wakuu.

Nipeni mbinu za kumkwepa kisayansi.
mjini maisha magumu kaka,uwe unakua na line ya kufanyia upambafu huo ili cku ikitokea hvyo unatupa unapotea mazima
 
Wakuu,

Kuna mama ntilie flani hapa Arusha kaniganda hatari,nilikuwa na lengo la kuchapa tu na kuingia mitini,lakini naona kaniganda na hana mpango hata wa kuachana na mie.

Kiumri kanizidi kama miaka mitano,ana mtoto mmoja wa miaka 7,elimu kaishia la saba,sasa mimi mtu wa hivyo nimpeleke wapi wakuu.

Nipeni mbinu za kumkwepa kisayansi.

tumia force of gravity itakusaidia mkuu
 
Ukimkwepa huta dinda mpaka unakufa,mkwepe tu uone korongo wewe
 
Ulitambua baada ya kuonja....!!!? Tena ulipiga kavu sasa....!
 
Yaani wewe katailiwe kwanza ukimaliza utakua umekua sisi tupo
 
Wakuu,

Kuna mama ntilie flani hapa Arusha kaniganda hatari,nilikuwa na lengo la kuchapa tu na kuingia mitini,lakini naona kaniganda na hana mpango hata wa kuachana na mie.

Kiumri kanizidi kama miaka mitano,ana mtoto mmoja wa miaka 7,elimu kaishia la saba,sasa mimi mtu wa hivyo nimpeleke wapi wakuu.

Nipeni mbinu za kumkwepa kisayansi.
daah xoorry couz u never thought the other side of da coin ulipokuwa unamtaman for da first tym .//////////////////........but da soln is easy talk to her the truth she gonna undestand u
 
Back
Top Bottom