Nimjibu vipi anielewe?

Nimjibu vipi anielewe?

Hisia huwa zinabadilika kadri siku zinavyobadilika
so hakukupenda then...lakini now hisia zimebadilika...
kazi kwako kusuka au kunyoa...

Mkuu,

What is your line of profession? You seem to impress me in most of your comments. You a community psychologist?.

Impressive.
 
Asa c umwambie ukweli tu,kwani akijua kuwa huyo binti ni mpenz wako atakufungulia mashtaka mahakaman au tatizo ni nin hapo?
 
Mwambie huwezi kubadili nyekundu kuwa bluu...
 
Hakukupenda kipindi hicho na sasa anahisi anakupenda, na kwa vile anajua aliharibu, anataka kupretend alikuwa anakujaribu kipindi anakukatalia.
Mwambie hakukosea, hata sasa humpendi kimapenzi kwani unampenda mtu mwingine.
 
hakuna cha kumjibu, inaonyesha unamtamani maana isingekuwa ivyo ungemwambia tu kuwa tayar unae. lakini kwa kuwa hata huyo ulyenae hautamwoa, nakushauri wote waache wanakupotezea muda na kukufanya uchele kufikia Destiny Yako.
 
Mkuu hayo huwa yanatokea,inawezekana labda mwanzoni alikudharau kwasababu flan flan kama hali ya kiuchumi,aliona wewe sio type yake au alikuwa na mtu wake

Cha kufanya kama unampenda huyu uliye naye sasa we mwambie Najua ulikoipata hiyo picha na ni ya mpenzi wako wa sasa na akikuambia ndio maana hukukupenda mwambie tu Sawa na shukran, ili aendelee kujihukumu mwenyewe na kupata majibu

Usipate shida wala kuweweseka kwani anajua A-Z of what happened
 
Kweli mkuu
 
Mkuu,

What is your line of profession? You seem to impress me in most of your comments. You a community psychologist?.

Impressive.

Huyo ndio The Boss jamaa huwa anacomment correctly in most posts
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hayo huwa yanatokea,inawezekana labda mwanzoni alikudharau kwasababu flan flan kama hali ya kiuchumi,aliona wewe sio type yake au alikuwa na mtu wake

Cha kufanya kama unampenda huyu uliye naye sasa we mwambie Najua ulikoipata hiyo picha na ni ya mpenzi wako wa sasa na akikuambia ndio maana hukukupenda mwambie tu Sawa na shukran, ili aendelee kujihukumu mwenyewe na kupata majibu

Usipate shida wala kuweweseka kwani anajua A-Z of what happened

Kwani Wewe Unafikiri Hata Huyu Alyenae Sasa Atamwoa? We Huoni Kama Anawapenda Wote,? Kwa Nini Asimwambie? Vijana Hapo Ndipo Hata Elimu Yetu Inaonekana Haina Maana Ulaya
 
tatizo naloliona kwako ni kutomwambia mapema kipindi ulipokuwa na na huyo mpenzi wako...ungemwambia tangu awali asingekuja sasa kukulaumu
 
Hisia huwa zinabadilika kadri siku zinavyobadilika
so hakukupenda then...lakini now hisia zimebadilika...
kazi kwako kusuka au kunyoa...

Likely ...
Ila hapa jamaa labda hakufanya bidii ya kutosha.....the hard to get thing....

Labda angesoma body language kingeeleweka.
 
Jamaa asije akatema bigijii kwa karanga za kunusishwa. Huyo mpare hakawii kubadilika hisia kabla ya sikukuu ya muungano.
Hisia huwa zinabadilika kadri siku zinavyobadilika
so hakukupenda then...lakini now hisia zimebadilika...
kazi kwako kusuka au kunyoa...
 
chakii

Usimjibu kitu..Piga kimya na usimpokelee sim wala kujibu txt.
 
Last edited by a moderator:
Hakukupenda kipindi hicho na sasa anahisi anakupenda, na kwa vile anajua aliharibu, anataka kupretend alikuwa anakujaribu kipindi anakukatalia.
Mwambie hakukosea, hata sasa humpendi kimapenzi kwani unampenda mtu mwingine.

Nashukuru kwa ushauri mkuu, nitazingatia
 
Wasichana huwa hawapendi mara ya kwanza. Wao hufundishwa kupenda na ndio maana mtu anaweza mchukua yule uliekuwa wampenda na anakupenda.
Kingine....
Biblia imeandika
Wanaume wapendeni wake zenu na wake watiini waume zenu....
Ni sisi twatakiwa kuwapenda hawa watu na kuwaonesha upendo
 
hakuna cha kumjibu, inaonyesha unamtamani maana isingekuwa ivyo ungemwambia tu kuwa tayar unae. lakini kwa kuwa hata huyo ulyenae hautamwoa, nakushauri wote waache wanakupotezea muda na kukufanya uchele kufikia Destiny Yako.

mbona unanihukumu mkuu, umejuaje huyu wa sasa sitamuoa?
 
Back
Top Bottom