Nimjibu vipi anielewe?

Nimjibu vipi anielewe?

Mkuu hayo huwa yanatokea,inawezekana labda mwanzoni alikudharau kwasababu flan flan kama hali ya kiuchumi,aliona wewe sio type yake au alikuwa na mtu wake

Cha kufanya kama unampenda huyu uliye naye sasa we mwambie Najua ulikoipata hiyo picha na ni ya mpenzi wako wa sasa na akikuambia ndio maana hukukupenda mwambie tu Sawa na shukran, ili aendelee kujihukumu mwenyewe na kupata majibu

Usipate shida wala kuweweseka kwani anajua A-Z of what happened

Nashukuru kwa ushauri mkuu, nitazingatia...
 
tatizo naloliona kwako ni kutomwambia mapema kipindi ulipokuwa na na huyo mpenzi wako...ungemwambia tangu awali asingekuja sasa kukulaumu

mkuu aliponikatalia niliyaheshimu mawazo yake na kutulia
 
story kama hii imeshanitokea nilimpenda binti mmoja ambaye tulikuwa majirani ila kwa sasa yupo mbali kidogo ila tunaishi mkoa mmoja na alikuwa hanitafuti mpaka mimi nianze kumtafuta kwa sasa ameanza kunitafuta baada ya kusikia nimepata mpenzi mwingine ikizingatiwa alinikataa ikabidi niheshimu uamuzi wake ila amekuwa anasumbua sana turudiane nikimuambia amechelewa hanielewi.
 
Wengi wanaachaga wanaume kwa ajili ya kuwaona hawana pesa ila ukifanikiwa kiuchumi wanakutafuta na kukutega hata ikiwa tayari una mwingine.
 
story kama hii imeshanitokea nilimpenda binti mmoja ambaye tulikuwa majirani ila kwa sasa yupo mbali kidogo ila tunaishi mkoa mmoja na alikuwa hanitafuti mpaka mimi nianze kumtafuta kwa sasa ameanza kunitafuta baada ya kusikia nimepata mpenzi mwingine ikizingatiwa alinikataa ikabidi niheshimu uamuzi wake ila amekuwa anasumbua sana turudiane nikimuambia amechelewa hanielewi.

aisee pole sana mkuu, naamini ulifanya maamuzi sahihi.
 
kwani we unampenda bado?,,si umesema una mpenzi ambae tayar ulishaanzisha mahusiano nae au sikuelewa
 
Mkuu,

What is your line of profession? You seem to impress me in most of your comments. You a community psychologist?.

Impressive.

Thanks for compliment
I am not a psychologist ...just a small entrepreneur
 
Likely ...
Ila hapa jamaa labda hakufanya bidii ya kutosha.....the hard to get thing....

Labda angesoma body language kingeeleweka.

Labda alitaka kujibiwa kwa mdomo
wakati mwenzie anampa signal za kutosha
 
story kama hii imeshanitokea nilimpenda binti mmoja ambaye tulikuwa majirani ila kwa sasa yupo mbali kidogo ila tunaishi mkoa mmoja na alikuwa hanitafuti mpaka mimi nianze kumtafuta kwa sasa ameanza kunitafuta baada ya kusikia nimepata mpenzi mwingine ikizingatiwa alinikataa ikabidi niheshimu uamuzi wake ila amekuwa anasumbua sana turudiane nikimuambia amechelewa hanielewi.

Siku zote kitu kikiwa mikononi mwako huwa huoni thamani yake, siku kikiondoka ndipo unang'amua thamani yake! Ndivyo ilivyo hata kwenye mapenzi.
 
Thanks for compliment
I am not a psychologist ...just a small entrepreneur

If we had 1000 people with your thinking in this forum we'd be rocking.

You deserve a pat on your back for staying sobber always in this forum.
 
Endelea na maisha yako huyo alikutathmini akaona huna waweko yake akakupotezea .
 
Back
Top Bottom