Nimjibu vipi anielewe?

Nimjibu vipi anielewe?

Sasa hapo mkuu inabidi utambue tu ni yupi sahivi kwa matumizi yako ya baadae. Wanawake ndivyo walivyo labda ilihitaji mda yy kukupenda nawe uliamua kumove on faster
 
@chakii unataka akushikie bakora akuambie nigegede lol uzembe huo mkuu mpe haki yake....tena usitetemeke fanya apointment ghetto kwako alafu akifa yani akifa no kuongea unamkaribisha na Denda uone kama ......................
 
hahahaha, mkuu we noma aisee!

Ushauri wako nitaufikiria
 
Mbona majibu yapo wazi sana na unayomwenyewe, ila waweza mwambia unajua halafu utamwambia shilingi ulioichezea kwenye tundu la choo imetumbukia ndio shida
 
Mbona majibu yapo wazi sana na unayomwenyewe, ila waweza mwambia unajua halafu utamwambia shilingi ulioichezea kwenye tundu la choo imetumbukia ndio shida

Asante kwa ushauri mkuu
 
Kuna wanawake ambao hata wakikuambia hapana wanataka uendelee kuwafuatailia mwisho wa siku anakukubalia.
 
ni rahis tu
mtumie vipicha vya watsap vyakucheka vile vinaitwa smiles
 
Back
Top Bottom