Nimfanyie Nini huyu Mwanamke?

Ulimbikiri. Wewe ndiye uliyeifungua ile njia takatifu ya agano. Njia ielekeayo katika kiini cha uumbaji na utangamano wa kimalimwengu. Wewe ndiye! Na yeye ndiye! Ni nyinyi!

Na huyo ndiyo mke wako halali kiagano. Hiyo ya kuua kichanga chenu tubuni na Mungu Atawasamehe. Kisha muoneni mshauri nasaha mzuri awasaidie jinsi ya ku-deal na hiyo sense of guilty ambayo pole pole itaisha hasa baada ya kutubu kwa toba ya kweli na kuachilia.

Baada ya kuhakikisha kuwa mko sawa kisaikolojia basi anza mikakati ya kumuoa huyo binti. Na msameheane kabisa kabisa kwa yote mliyotendeana huko nyuma - never ever to be brought up again. Huyo ndiyo mke wako kiroho kamanda.

Usipouzingatia ushauri huu hutakaa uwe na amani katika ndoa yako na utakuwa mtu wa majuto tu na mikosi kwako wewe, familia yako na kizazi chako.

Nenda ukaanzishe familia na huyo binti. Huyo ndiye soulimeti wako; na hutakaa upate mwingine hasa katika kipindi hiki. Nawaombea 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Fanya mpango muoane tuu mtengeneze familia ndio fadhila kubwa utakuwa umemfanyia
 
Daa this is my best comment,,ntafanya hivyo mkuu, what if nkitaka kumuona yeye akakataa?
 
mrudie upashe kipolo kidogo
 
Kuna jamaa aliwahi pata mwanamke aliyemsitiri akiwa hajajipata,, baada ya kumuweka ndani sasa, hakuna rangi hakuona, maokoto yakaanza kuingia mwanamke akawa anachukua na kuwekeza kwao,, kama anajilipa vile, ili asikoromewe akatumia ndumba kumuinamisha jamaa yake,, bahati nzuri jamaa ni moja ya wale watu wasiorogeka kirahisi kihivyo, mwishowe waliachana kwa ugomvi mkubwa,,,,


Jamaa aliamini kwakuwa mwanamke alianza nae akiwa hana kitu basi amvumilie,,, alizaa nae watoto 2

Kwahiyo usishsngae bikira Maria akabadilika kuwa delila
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…