A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,131
- 1,598
Au muulize shemeji ilikuwaje ile siku je ulimwambia MrTrue bro nataka kufanya hvyo ila sina uhakika kama mke wake kamwambia maana Hawa viumbe acha tu hata kama cku hiyo alikuwa mkali cjui kilichoendelea kuko mbelen na sina evidence ya tukio hilo
Ww umeshauri nn?mm sijaelewa kbs kilichotokea naona ABC
HIJK L MENO PQDEFG
Soma uelewe sasa[emoji3]
XYZWewe umeelewaje?
Wewe umeelewaje?
B alitaka kumkula Mke wa A.
C na A wanakaa Geti moja. A hakuwepo. Si ndiyo B akamvamia Mke wa A akataka kumkula. C akamshitukia. Hapo umeelewa.... Tusichoshane.A akafanyaje sasa na C kahusika vp?
C na A wanakaa Geti moja. A hakuwepo. Si ndiyo B akamvamia Mke wa A akataka kumkula. C akamshitukia. Hapo umeelewa.... Tusichoshane.
Hapa Muulize C ambaye ni mleta Mada ajibu[emoji849][emoji849]Kwahiyo alikuwa anataka tumaaidie mawazo gani?..naww kidogo tu unachoka
Hapa Muulize C ambaye ni mleta Mada ajibu[emoji849][emoji849]
Halafu Badili Avatar hiyo. Sijaizoea.Huu uchoyo wa mawazo umeanza lini?
Halafu Badili Avatar hiyo. Sijaizoea.
Unataka ipi niweke kwa ajili niweke yako?...njoo pm nikutumie uchague
Zitume huko nitazikuta.