Nimfanyeje huyu rafiki

Huyo B ni mnafiki sana, kati ya kitu kinachohitaji unafiki wa grade1 ni kutoka na mke wa rafiki yko, huyo anaroho moja mbaya sana kati ya roho za dunian, mtu kama huyo anaweza ata kuua uku anakuchekea

Ningeona kawaida kama angekuwa anamtongoza wife wake af akampotezea jamaa kwa maana ya kujisuta
Wanawake wazuri sana wamejaa ila anamfata shem wake

Una haki ya kufanya hvyo mkuu, mnafiki dawa yke ni kumuumbua
 
A ongea na mke wa C, mwambie ulisikia kila kitu siku ile. Ili kwa pamoja kama mnaamua kumwambia C mwambieni ajue, ila ukiamua kumwambia C mke wake anaweza akakataa na wewe A ukaonekana mbaya
 
True bro nataka kufanya hvyo ila sina uhakika kama mke wake kamwambia maana Hawa viumbe acha tu hata kama cku hiyo alikuwa mkali cjui kilichoendelea kuko mbelen na sina evidence ya tukio hilo
Mwambie tu, mueleweshe kuwa Kama mkewe hajamwambia basi labda anaogopa kuwa sababu ya kuvunjika Urafiki wao.
 
A ongea na mke wa C, mwambie ulisikia kila kitu siku ile. Ili kwa pamoja kama mnaamua kumwambia C mwambieni ajue, ila ukiamua kumwambia C mke wake anaweza akakataa na wewe A ukaonekana mbaya
Kwel kabsi
 
Ndo marafiki wa mjini ndugu ila kwa kuwa huyu nshamjua ni kumpotezea
 
Mfate B mkiwa wawili tu mwambie ile siku ulimsikia kila kitu alichokuwa anaongea namke wa C naumueleze kuwa haipendezi kama marafiki kufanyiana hivyo navilevile mueleze hatari iliyopo mbele yake
Huyu boya kumwambia lazma na kwanza nataka nikate mazoea nae kabisaaa maana Leo kwa C kesho kwangu.
 
ili urafiki wenu udumu inabidi kila mmoja aoe,lasivyo mtazungukana tu
 
Huwa nna msemo mmoja "sina marafiki bali nna watu ninaoongea nao tu". Nimejifunza mengi kupitia marafiki wa karibu na jibu nililopata "USIMUAMINI RAFIKI AU NDUGU KWA MKEO AU MPENZI WAKO"
 
Kumwambia C ni muhimu, japo yakupasa utumie akili. Waweza igiza, sema umewasikia watu wakimzungumzia B kuwa anammendea mkewe. Mengine utaongezea
 
Nina swali mkuu,kila nikitongozwa natakiwa kumjulisha mume wangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…