Nimfanyeje huyu rafiki

King Edward

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Posts
230
Reaction score
376
Hope Kwema bandugu?


Straight kwenye mkasa, tupo marafiki watatu let's say A,B,C. A na B sisi ni mabachelor ila C ana mke na watoto 2. Mm A na C tumepanga nyumba yenye geti moja ila ndani kuna nyumba tatu hivyo kila mmoja ana getto lake na B anakaa kama mwendo wa dk 15 kwa miguu kutoka hapo kwetu na urafiki wetu sote ni kama 5 yrs HV na zaidi kwan ni toka nimehamia mkoa huu kikazi na apart from utani wa kawaida WA kirafiki ni watu ambao tulikuwa tunaheshimiana na kusaidiana sana kama ndugu, ila kama wiki tatu nyuma nilikuwa na tatizo ambalo lilinifanya niombe ruhusa kazini, hvyo nililala sana mpaka mida ya SAA 4 siku ya tukio, ile nakurupuka usingizin nataka kutoka nje nikasikia sauti ya mke wa C akiongea na mtu kwa ukali kama amekereka na jambo " hivi una akili ww mm Mali ya MTU jiheshimu" na huyo mwingine ni kama ananongoneza hata cmsikiii vizuri ikabidi nisifungue mlango
kwanza niende dirisha kuchungulia kwenye upenyo wa pazia, believe it or not Duh sikuamini ni B, macho yakanitoka, hasira kama yule ni mke wangu, akili kama sio zangu nashika mswaki narudisha ila baada ya muda kama dk 5 akaondoka na neno la mwisho niloskia kutoka kwa B ni NARUDI, kweli akatoka akili ikaniambia c huyu mwanamke afunge geti kwa ndani ila bwana ya shetani nayo Mengi hiyo akili haikumuingia (cjui ila hakulifunga) zaidi ya kumuona ni kama ana hasira za kuchukizwa na kilichotokea na chai aliyokuwa anakunya kwa pale nje ni kama haitaki tena. Kweli bhana Mara jamaa akarudi (nahs alienda kusoma ramani kwa nje) na kulianzisha tena "oh VP sasa.." Kabla hajamalisha nikasikia mke wa C akisema "Katafute wanawake wakotongoza huko nje na unikome" na mitusi kama 1000, baada ya kuona kawa mkali duh B speed getini katoka huku namuona kwa mbali anajichekesha. Yule wife wa C alikaa sana lile eneo ni kama anamawazo sana ikabidi nitoke maana hakuwa na dalili za kuamka pale huku nikijifanya nimetoka usingizini kwa kukunja sura na miayo kama 1000. Tukapeena hi nikawa natoka namuona nikama kuna kitu anataka kusema ila inajishauri mwisho wa siku akaniambia kama siendi mbali nimchulie azam kule nje. Mkasa ukaishia hapo. Ila toka cku hiyo huyu B staki mazoea nae akipiga cpokei akiniambia nipo na C venue zetu za kupata siendi na nataka nikate mazoea kabisaa pasipo C kujua kwa Nn maana huyu C najua hatamuelewa jamaa akijua. Ushauri wenu ndugu ... B na C wanafanya biashara zao (sio waajiliwa) hvyo wapo vizuri kidogo financial.

Note: True story na Mm ndo mhusika A.
 
Imagine wewe ndio c ikitokea kwa mkeo ,alafu A ambae ndo mshkaji unakaanae geti moja asikuambie plan b za bwana B Kutaka kukuzunguka utafeel ahje!?
 
Imagine wewe ndio c ikitokea kwa mkeo ,alafu A ambae ndo mshkaji unakaanae geti moja asikuambie plan b za bwana B Kutaka kukuzunguka utafeel ahje!?
Acha mzee huyu C natamani mke wake awe amemwambia maana kama hajasema nitayavuruga hata kwao
 
Mkuu mwambie tu C ili ajue maana siku akijua na akijua kuwa ulikuwa unajua hatakusamehe, na hata Kama hatajua Kama unajua atakuona Kama C tu. Mwambie ukweli, usifiche maradhi.

Mimi rafiki yangu wewe karibu sana alishakuja kwangu akamtongoza wife, nashukuru wife aliniambia, hadi Leo jamaa nimempotezea Sina hata story nae.
 
True bro nataka kufanya hvyo ila sina uhakika kama mke wake kamwambia maana Hawa viumbe acha tu hata kama cku hiyo alikuwa mkali cjui kilichoendelea kuko mbelen na sina evidence ya tukio hilo
 
Hii issue inahitaji hekima sana.

Huenda shemeji kamwambia C na C hajaamini bado, hamna kithibitisho .....


Unaweza kufikisha ujumbe kwa mifano bila kumwambia C ni mhusika moja kwa moja.Unaweza ukamwambia story hiyo hiyo kwa kutumia wahusika wakufikirika wanaoishi sehemu nyingine na mwishowe ukamwambia hii dunia simwamini mtu ....
 
The truth will set you free,na huo ukweli utakutesa hadi uweke wazi,heri mchawi kuliko mnafiki
True bro nataka kufanya hvyo ila sina uhakika kama mke wake kamwambia maana Hawa viumbe acha tu hata kama cku hiyo alikuwa mkali cjui kilichoendelea kuko mbelen na sina evidence ya tukio hilo
Hii issue kama hakuna vithibitisho inaweza ikamwaribia urafiki huyu mleta mada.Mke wa C na B wanaweza wakamruka akaonekana mwongo na mwenye nia ya kuwagombanisha.

Na kama mke wa C hajasema basi kuna walakini kwenye hiyo ndoa na A unapaswa kuwa makini.
 
The truth will set you free,na huo ukweli utakutesa hadi uweke wazi,heri mchawi kuliko mnafiki
Nina plan ya kumhoji mke wa C kabla cjakurupka mzee kuhusu tukio lile kabla ya kuongea na jamaa maana ila huyu jamaa B ndo hata ctaki mazoea. Hata kama wife wake akatakaa najua nitampa jamaa points za kumchinjia mbali msela nnya hivyo aamue mwenyewe.
 
Very true na ndo inaniumiza kichwa anyway mm nitampa hints kidogo C akionyesha kujua kitu nafunguka yote kama hajui namwambie jamaa ni msela nnya atajua ukweli mbeleni.
 
Acha tu mzee haya mambo unaweza usijaaamini mpaka yakukute, na jamaa wanahang na B cdhani kama anajua na kama anajua bac kuna kitu anaplan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…