Nimfanyeje huyu mbwa?

Mkuu tafuta mbegu za bangi saga halafu uwe unamchanganishia kwenye chakula chake, usipokuwa makini hata wewe mwenyewe utang'atwa. Anaebisha abishe ila hiyo ndo dawa kiboko.
 
Nimcheka kea sauti mkuu, yaani kabwekea churaaa hahahaha, thanks u made my day,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MBWA anayebweka ni MUOGA,,MBWA mkali utasikia MAYOWE YA WAPITA NJIA,,,huyo hana SHIDA mkuu,,PENGINE hata wewe MMILIKI WA MBWA ndy tabia yako,,,KUCHEKA CHEKA NA WATU HOVYO.....hebu jaribu KUNUNIA WATU,,,uone Kama hatobadilika,,,MBWA hufuata vile bwana wake alivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mi nmemstukia maana kila comment ka-reply tena fasta na kuna vitu anashauriwa hataki. Eti hajui pa kuipata bangi?. Real....? Hata mtoto wa miaka 5 anajua wapi bank inapatikana
 
Tafuta mwingine ambae ana tabia yabukali na kubweka atamuiga na atabweka. Mi pia nilikuwa nae wa aina hiyo. Nimepata mwingine machachari anamkwara sana na huyibwa awali anabweka saivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…