Hamna camera, na mimi mwenywe ushanivunja mbavu Mkuu!
muinamishe ofisini muda wa lunch
mpe makav laiv aone huna mpango nae ucpoangalia atakuvunjia ndoa yako,ukicheka na nyan utavuna mabua
Kwa sababu mmeshazoeana kihivyo mtoe out ukifika huko muulize kwa upole why kabadilika hivyo ana shida gani ?, naamini atakueleza tu nawe utajua namana ya kumsaidia mtu mzima mwenzio.
Kimbiaa mitego mingine nuksii we vutia pumzi kwakee halaf wahi home kwa mkeo kashushe mzigo wakoo
Kimbiaa mitego mingine nuksii we vutia pumzi kwakee halaf wahi home kwa mkeo kashushe mzigo wakoo
Dinazarde thanx, mm mgnjw wa chachandu bs akinionyesha tu, mm namcall yf tukutane hm, na hz mvua aka!
Kemea hilo pepo kwasauti mbele yake. Nena mpaka kwa lugha na umshike kichwa chake kwa nguvu ukiwa unasali kwa nguvu zote.
Onyo: Kama ofisini kwenu kuna camera usijaribu. Utawavunja mbavu IT.
Pole kwa majaribu.
Mimba itakuwa ya nani?
Watu wengine wananishangaza sana, hukujua kuzoeana na mke wa mtu kuna hasara zake?? au ulijiona very understanding person?? wewe ndio source ya matatizo yako and you will be the only solution of your problems. Badilikeni bwana, think ahead and not where you are!!!