Nimfanye nini huyu office-mate?

Nimfanye nini huyu office-mate?

Hamna camera, na mimi mwenywe ushanivunja mbavu Mkuu!

haaahaa! Abrashada kinta laba kinta abra kinta shaba kinta..!
Nena hivi kwa lugha huku umemshika kichwaa! Ana pepo na shuka hadi kiunoni. Ushike vizuri kabla pepo halijashukia hapo kutoka kichwani.! Oyooo! Kamatia nanga hyo ikuzamishe.!
 
Kuna msemo 'jifanye mjinga siku ipite' kuangalia chachandu angalia, but take no action, mwisho atakata tamaa!
 
muinamishe ofisini muda wa lunch

.............tena UNAENDELEA huku unalia kwa uchungu, na ukimtaja jina lake..mfano kama anaitwa Fausta.......basi unalia huku unalalama kwa machungu.............kweli Fausta siku zote nakuheshimu kama dada yangu lakini unathubutu kunifanyia hivi...kweli..kweli Fausta.....sio vizuri ujue....shindwa Fausta....shindwa Fausta...shindwa Faaaaaaa....aaa....aah...aaah......aaahhh.......pfuuuuuuuh......na baada ya kumaliza endelea kulia kwa machungu kwa dakika kadhaa.....

.....nakuhakikishia baada ya hapo atakukoma.
 
mpe makav laiv aone huna mpango nae ucpoangalia atakuvunjia ndoa yako,ukicheka na nyan utavuna mabua

ushauri mbaya huu. hujasoma habari ya yusuf kwenye bible? atapiga kelele ofisini siku moja "anataka kunibakaaaaaa....." ongea na bosi wako kwa siri kubwa mwanangu akuhamishe idara wewe,, au yeye.
 
Kimbiaa mitego mingine nuksii we vutia pumzi kwakee halaf wahi home kwa mkeo kashushe mzigo wakoo
 
Kwa sababu mmeshazoeana kihivyo mtoe out ukifika huko muulize kwa upole why kabadilika hivyo ana shida gani ?, naamini atakueleza tu nawe utajua namana ya kumsaidia mtu mzima mwenzio.

Mnama kashakupa ushauri..kwakuongezeaa mwambiee wee humtaki na asi force
 
ongea nae mpe black and white kwamba anayofanya si mazuri kwani unamheshimu sana..pole
 
Usikubaliane na upuuzi wake hata kidogo kuna madhara makubwa Mbele yanayoweza kusababisha kifo cha mmoja wenu Hongera kwa kukataa michepuko
 
pole kaka.ila kama una nia ya kukwepa michepuko punguza ukaribu.shirikiana wea necesary.huo ukaribu utakupelekea huko tu
 
Mbona huyo rahisi?

Si mmezoeana kikaka kaka?

Unamwambia tu nguo zako sio nZuri siku hizi

 
Dinazarde thanx, mm mgnjw wa chachandu bs akinionyesha tu, mm namcall yf tukutane hm, na hz mvua aka!
 
The truth will set u free,mwambie huyo office mate kwamba what she is doing isnt right and kama she doesnt behave or change ni bora uvunje huo urafiki...,itsn't worthy kabisa cheating n destroying ur marriage over something which u might regret entirely for the rest of ur life.
 
Kimbiaa mitego mingine nuksii we vutia pumzi kwakee halaf wahi home kwa mkeo kashushe mzigo wakoo

Dinazarde nashkuru, sk hz akinionyesha chachandu mm nampigia yf kuwa atankuta hm! huyoo mbio mpk hm,
najilia vyng siku imeisha! Na hz mvua, aka!


Kimbiaa mitego mingine nuksii we vutia pumzi kwakee halaf wahi home kwa mkeo kashushe mzigo wakoo
 
Dinazarde thanx, mm mgnjw wa chachandu bs akinionyesha tu, mm namcall yf tukutane hm, na hz mvua aka!

Ndio mashimo mengine nuksii unaweza shangaa ukajiingiza halaf ukapata mikos kibao tulia na mkeo pendezesha mkeo umuone mpya kila siku
 
Dah wanaume wote wangekua kama weye! Lol michepuko isingekuepo..
 
Kemea hilo pepo kwasauti mbele yake. Nena mpaka kwa lugha na umshike kichwa chake kwa nguvu ukiwa unasali kwa nguvu zote.
Onyo: Kama ofisini kwenu kuna camera usijaribu. Utawavunja mbavu IT.
Pole kwa majaribu.

Ataanzia kichwani anakuja kifuani then mapajani. Kitakachofuata Mimi sijui.
 
Kwahiyo hofu yako ni mimba? Ukimwi je?

Hapana, achana na mimba na ukimwi, afterall sijui kati yake na mumewe nani ana matatizo ya uzazi, my concern ni ndoa yangu na maisha yangu ya ajira!
 
Watu wengine wananishangaza sana, hukujua kuzoeana na mke wa mtu kuna hasara zake?? au ulijiona very understanding person?? wewe ndio source ya matatizo yako and you will be the only solution of your problems. Badilikeni bwana, think ahead and not where you are!!!

Nsuri, inawezekana ukawa sahihi katika mtazamo wako! Hebu nambie, huyu bidada nipo nae ofisi 1 huu mwaka wa 3! sio taasisi 1, nazungumzia ofisi 1 kwa maana ya we share the same door, the same door key, the same AC! tumetenganishwa kwa meza tu, meza yake, na mimi meza yangu. Computer yake na mimi yangu, kwa muda wa miaka mi3 ntakuwaje na makosa kumzoea? Kama watu wanazoeana kwa kukutana kituo cha dalala kila sk asubuhi, vp mimi nisimzoee mtu ofisi 1 kwa muda wote huo? Hebu nipe mbinu sasa, nikitaka nisimzoee mtu wa aina hii unaanzia wapi? Maana hata jug la chai tunashare!
 
Back
Top Bottom