Mshirikishe hii thread akiisoma atakuwa kaelewa.
u see na tatizo lipo hapa,kwanza jamaa alipaswa kumuelezea bint,kuleta bandiko hapa ni tatizo kuliko kumueleza,je bint/mdada akijisoma hapa??hop kutaibuka msuguano baina yao,tatizo ni kwamba anamuonea haya au slim5 anapenda kuona shanga shanga hizo
Mpotezee tu akakuuliza kunanini hapo mwambie ukweli jinsi anavyokukera.
Peter jaluo wewe ni muumini wa #michepuko sio
Kaka unaweza kushare office ila lazima uwe na mipaka, una familia yako na yeye ana familia yake. Unaweza sasa kumwambia ukweli na jinsi unavyojiskia, ikishindikana angalia uwezekano wa kuhama office. Njia sahii ya kushinda jaribu ni kulikimbia!!!Nsuri, inawezekana ukawa sahihi katika mtazamo wako! Hebu nambie, huyu bidada nipo nae ofisi 1 huu mwaka wa 3! sio taasisi 1, nazungumzia ofisi 1 kwa maana ya we share the same door, the same door key, the same AC! tumetenganishwa kwa meza tu, meza yake, na mimi meza yangu. Computer yake na mimi yangu, kwa muda wa miaka mi3 ntakuwaje na makosa kumzoea? Kama watu wanazoeana kwa kukutana kituo cha dalala kila sk asubuhi, vp mimi nisimzoee mtu ofisi 1 kwa muda wote huo? Hebu nipe mbinu sasa, nikitaka nisimzoee mtu wa aina hii unaanzia wapi? Maana hata jug la chai tunashare!