Nimfanye nini huyu office-mate?

usikae kimya utaongeza ukubwa wa tatizo km hupendi michezo hiyo.;

tafuta muda hata wakati wa lunch umweleze tu kwa ustaarabu, akuelewe msimamo wako
 
tuambie ni ofisi gani tuje tumuone kabisa...

eye to eye advice is good!
 
mpe makav laiv aone huna mpango nae ucpoangalia atakuvunjia ndoa yako,ukicheka na nyan utavuna mabua
 
Umeshakolea wewe!!!
Hapa wadau wanatwanga maji kwenye kinu tu ila unajua cha kufanya.
 
Ndo hivyo sasa, hata akija kavaa chachandu kichwani, achana nae wala usimuulize kitu, mwisho atajiona mjinga, atarudisha heshima kama zamani


Ni kweli sintapungukiwa na kitu, ila nataka kuweka mipaka ya heshima baina yetu! namna ambavyo yeye anajiweka itachora taswira ya ss sote tulivo hapa ofisini kwetu!
 
we chepuka kaka haina foleni hiyo
 
Jarb kua nae karb zaid umdadis atakuambia kama anahtaj mtt au la!hapo na ww akil kumkichwa
 


slim5 Kama unaogopa kumpa makavu LIVE, msifie sana mkeo mbele zake, uku ukionesha huwezi kumsaliti mkeo hata kidogo, somo litamuingia
 
Mkuu unataka kumshauri yeye ama mimi, eye to eye?

wewe slim5 inaonekana hauna shida kabisa!! kwa jinsi nilivyoona kwenye darubini yangu..

tatizo ni huyo dada, nahitaji namba yake ya simu.. ni-PM fasta namba yake!
 
Last edited by a moderator:
Mpe haki yake mkuu usimtese kihivyo! mpe huduma heavy mara moja tu kujenga heshima yako unless atakuona mbulumundu!
Watoto wa Singida ndo walivyo hao, utulivu kwao mwiko.
 
Hp ofsn kwt kila kona wamebandika zi tke postures za utumishi wa umma khs mavazi, na maboss wetu ndio wa kwnz kuzipuuza
 
Mimba itakuwa ya nani?

Mkuu unachoogopa ni mimba itakua ya nani au hautaki michepuko..! Na hayo unayosema ni unahisi tu ebu tafuta kwaza ukweli na ukishajua anachotaka hasa nini ndio nafasi ya ww kumpa ukweli..! Coz hata vimin na chahandu huna uhakika kama ankuvalia ww.
 
Nsuri mkuu, hy dada nipo nae ofisi 1, namaanishsa tunashare office key huu mwk wa 3, kweli hapo nina kosa kumzoea! Hv Nsuri unafanyaje ucmzoee mtu hy?
 
Ennie hapana bhana, sijakolea! Nimemleta yf ofsn mr kadhaa nikiamini itasaidia, wp!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…