Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Ana takko?😛Uzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@
Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka
Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu
Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan
Mda mwingne mtu kinyimwa kile anachokipenda kisa kumekosekana kitu flan kuna muamasisha zaid kwenda kutafta hicho kilichokosekana ili aje apate kile alichinyimwa.Na akiona huna pesa hujinunisha hata wikii nzima na unyumba ulambi najua baadhi ya wadau mtasema tafuta pesa
Kasoro ya huyu mwanamke kwanza sio mkweli anaweza kukudanganya hata kwa jambo
Ambalo unaliona hili halipo hivi
Sasa sijajua huwa anamaanisha nini?
Licha ya kumuonya mara kadhaa ila hurudia hivyohvy
Hapa achana nae tena kimbia. Kama anauongo mwingi na hajui kukubari kosa bas huyo mwanamke ana kiburi na kujiona na hana akili.Kwa kuliona hilo nikajipigapiga nikamfungulia shop ya nguo ilikuwa vizuri ila mwishon akafanya anachojua yy akajifilisi maana mwenendo aliokuwa nao ilikuwa lazima ajifilisi
Na ilikuwa ukimuonya anasema mnatunyanyasa wanawake Na atanilipa hela yangu mimi huwa sina maneno hua namwangalia tu sasa wakuu
Hivi ni kweli hii kitu kuwa hawezi akabadirika mkiwa kwenye ndoaKiufupi hakufai,ukiona mwanamke ana tabia fulani kwenye uchumba usitegemee atabadilika ktk ndoa, la kuambiwa changanya na zako
Hivi ukimpeleka mkeo hospital, unaweza kuchagua atibiwe na daktari wa jinsia gani?.Sina nia mbaya nataka kutoa msaada wa ushauri kwa faida yako wala sio yangu.Kama me sikipi kama ke utaipata
Komaa mkuu pia tafuta pesaUzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@
Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka
Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu
Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan
Basi muoe huyo,hakuna mkamilifu duniani,angekuwa anamegwa nje sawa,muoe fastaHapana Mkuu shd tabia sake
Mtu hapimwi Kwa mazuri ukitaka kumuweka karibu yako unapima Yale mabaya unayosikia na kuona pengine kwamba uyu dada ni Malaya Ila anajua snaa kupika au uyu dada ni mzurii Ila kwao ni wachawi tunaangalia madhaifu yako ili tuyapime je naweza kuyamudu kuvumilia na kurekebishana pale inapobidiMkuu umetupa weakness zake tu tunaomba utuambie na mazuri yake ili tupime kwenye mzani tuone kilichozidi na tutoe ushauri sasa.
Mkuu nadhani mazuri ni mengi kuliko mabaya, labda mengine anafanya kwa Sababu hajawa na uhakika 100%. Wewe fumba machoo andaa mahali mwambie sasa mama nataka kwenda kutimiza ahadi na tufunge pingu za maisha. From now sipendi A,B C... Maana hii safari tukikwamishana tutaumia wote. Then chukua wazee waende, omba na tarehe ya harusi. Nina imani badhi ya mambo atabadilika kama siyo kuisha atapungua. Hakuna mkamilifu mkuuUzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@
Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka
Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu
Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan
Sasa unakuja kuomba ushauri na unakuwa mkali tena? Sasa ni hiviii, huyo mwanamke wako hana tofauti na huyu wakwangu hapa.Najua wote humu hamjambo maana huwezi ingia humu huku unaumwa
Twende kwenye mada
Wakuu nimepata mke ambaye natarajia kumuweka ndani ila sasa
Kabla ya kufika huko kwenye kuwekana ndani
Nilimpima kwanza je atafaa kweli kifupi huyu binti nipo naye kwenye uchumba karibia miaka 2 navyosema uchumba yaan yupo gheto siwez ita mke mana hutajafunga ndoa
Kasoro ya huyu mwanamke kwanza sio mkweli anaweza kukudanganya hata kwa jambo
Ambalo unaliona hili halipo hivi
Sasa sijajua huwa anamaanisha nini?
Licha ya kumuonya mara kadhaa ila hurudia hivyohvy
Na akiona huna pesa hujinunisha hata wikii nzima na unyumba ulambi najua baadhi ya wadau mtasema tafuta pesa
Ipo hivi pesa hata uitafute vp ila kuna muda mambo hubuma maana kuna kuumwa nk...
Kwa kuliona hilo nikajipigapiga nikamfungulia shop ya nguo ilikuwa vizuri ila mwishon akafanya anachojua yy akajifilisi maana mwenendo aliokuwa nao ilikuwa lazima ajifilisi
Na ilikuwa ukimuonya anasema mnatunyanyasa wanawake Na atanilipa hela yangu mimi huwa sina maneno hua namwangalia tu sasa wakuu
Je kwa tabia hizi je niingie mazima au nifanyeje
Kuna wadau baadhi utawasikia umeshindwa kuamua hadi kwenye hili?
Nasema hivi ndio nimeshindwa naombeni ushauri wenu
Owa fasta ama ukishindwa uje tubadilishane wanawake ndani ya siku tatu tuu usipojinyonga ama kuikimbia nyumba nakupa 1000,000Uzuri wake ni msafi yaani nguo ndani hazilundikwi nikivua tu imeng'a@
Pia mcheshi hata nimuuz vp ukija ww mgen utakula utavimbiwa na huto jua kama kimewaka
Pia kaz anapiga ukimpeleka shamb heka siku tatu
Kitandani sijawahi juta na sijawahi pata kwingn kama hapa ndan
Fedha ni tiba ya kila changamoto sio?Ushauri ni ule ule ....tafuta hela😁
Mwanangu hakufai huyo ukibeba utajua mwenyewe maana kesha kuonyesha rangi yake.Najua wote humu hamjambo maana huwezi ingia humu huku unaumwa