Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

Mkuu litakuwa kosa kubwa sana kama utatembea na mfanyakazi wako wa ndani.. Mwanaume anaejiheshimu hawezi kujishusha hivyo.. Kama unataka kuchepuka nenda mbali huko ukachepukie.. Ili hata kama mke wako akisikia inakuwa haina nguvu kivilee.. Lakini kutembea na mfanyakazi wa ndani ni kumkosea heshima mke wako.. Mheshimu sana mke wako maana ndo ubavu wako huo..

Tena unatakiwa kuhakikisha huyo mfanyakazi ameondoka hapo nyumbani mara moja..
 
Mi nilitaka kulipiza kisasi naye angalau nimmege ili nimuone naye akiwa mtupu kama mie ila nafikiria sana kuwa kitawaka manake itakuwa mazoea nikishalianzisha, na kitu kizuri ni kwamba tulishakaa nae pale miaka minne sasa

kwasababu na ww ni mtu mzima basi fanya hicho ambacho moyo na akili yako vimekutuma....

Kama nafsi yako imedhamiria hvyo hvi unafikiri mm na Khantwe tukuambie achana naye unafikir utatuona wa maana? Au nafsi yako itaridhika wakat umedhamiria kufanya uzinz na mtoto wa mwanaume mwenzio?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu litakuwa kosa kubwa sana kama utatembea na mfanyakazi wako wa ndani.. Mwanaume anaejiheshimu hawezi kujishusha hivyo.. Kama unataka kuchepuka nenda mbali huko ukachepukie.. Ili hata kama mke wako akisikia inakuwa haina nguvu kivilee.. Lakini kutembea na mfanyakazi wa ndani ni kumkosea heshima mke wako.. Mheshimu sana mke wako maana ndo ubavu wako huo..

Tena unatakiwa kuhakikisha huyo mfanyakazi ameondoka hapo nyumbani mara moja..

Shukurani kwa ushauri wako mkuu, hata mie nafikiria kuliacha ilo, ila nitatafuta njia gani za kumuondoa bila sababu yoyote? Wife atanifikiriaje nikichukua maamuzi ayo
 
Naona huu ni msimu wa story za wadada wa kazi.....zikiisha hizi zitahamia kwa wakaka wa kazi.............
 
huu ni uongo maana akili yangu inagoma kukubalana na mtoa mada

hii ni fasihi simulizi+andishi...
Hapo itabidi utoe ushauri huku ukireview kwenye jamii yako.
Imagine ndio faza house wako yanampata haya itakuwaje?.
Hapa jf kila kitu fake
 
kufanya matusi

umeona wanadamu tunavokosea?
Kufanya kitendo kilichohalalishwa na Mungu tunaita matusi ila tunasahau matusi kama nisisema shenzyy... Hayo ndio matusi lakn kufunua utupu hyo ni kitendo chema kabisa
 
umeona wanadamu tunavokosea?
Kufanya kitendo kilichohalalishwa na Mungu tunaita matusi ila tunasahau matusi kama nisisema shenzyy... Hayo ndio matusi lakn kufunua utupu hyo ni kitendo chema kabisa

si nyie mnatumia vile vitu kama matusi
 
Shukurani kwa ushauri wako mkuu, hata mie nafikiria kuliacha ilo, ila nitatafuta njia gani za kumuondoa bila sababu yoyote? Wife atanifikiriaje nikichukua maamuzi ayo

Be bold on this.. Mwambie mke wako ukweli bila ya kumficha.. Hii itasaidia kwanza kumpa confidence mke wako na trust (mke wako atajenga imani kubwa sana kwako) na pili itawasaidia kuwa na maamuzi ya pamoja kwenye issue nzima hii..

Achana kabisa na hiyo kitu Mkuu..
 
Nenda kaoge tena alafu kaa uchi tena ukae kitandani then umuite
 
Siku ukiwa na mkeo mmelala chumbani, amka taartibu kisha nenda kwenye chumba cha huyo hg. Wife akija, pigeni a group thingy!
 
Mmh nawe fanya zaidi ya kumwona uchi ili uvunje ndoa yako na house girl awe mother house....haaa....haaaa. It seems unataka kumla.
 
Kichwa cha familia kinaposhindwa kufanya maamuzi magumu...

Mida ulitakiwa muwe mshapata dada ajifunze kazi ili aliyopo aondoke...au ulipaswa uwe ushampoga biti huyo dada ajiheshimu
 
Back
Top Bottom