Nimfanye nini huyu kidudu mtu?

Nimfanye nini huyu kidudu mtu?

Ndukidi according to ur statement it seems amount of ur thinking capacity is less than a toilet crockroch..Jerk
 
Nashukuru Wakubwa Na Wadogo Wenzangu Kwa kuweza Kunipa USHAURI, Pia Na Wale Ambao Wameioppose Kwa namna Moja au Nyingne kama Evelyn Salt ambaye nahisi na yy hana Tofauti na huyu dada niliyekorofshana nae , Lakini Nataka Niwaambie Hiki Ki2 Kimenitokea Kweli Na wala sio story ya kutunga, Cjashindwa Kukaa mimi na MWANASHERIA WANGU hapana, Ila Nikaona NIpate MAWAZO ya W2 wengi kwani naamin umoja ni NGUVU , UTENGANO ni UDHAIFU...Regards To y'all

Kwenda kidudu mtu wewe!!!!
serengeti boys mmekuja na mbinu ya kujizolea ujiko hapa eti wadada wa jf wanawachuna, hela zenyewe mnazotolea povu sasa....ptuuuuuuuu!
 
malizaneni huko huko pm na usituchoshe hapa na vocha yako ya tigo ya mia tano!
 
achana nae coz ni mjinga wala ucje ukajisumbua kumfwatilia,kwanza inaonyesha hamtaendana coz tabia ya uswahili sidhani kama utaiweza,warembo wapo wa kumwaga mbona?
 
Unajua nini ngoma droo.mwanaume kawaza nyapu mwanamke kawaza mbesa sasa kama dau lake jero kwa nini asiombe jero?hapa mmu wapo watu wa aina tofauti na sababu tofauti ya kuwa hapa so bro usishangae mbona wapo wengi twawajua.
Ila mleta mada naye mpenda sifa balaa dizaini ya yoyoyo whatsapp
This story is too good to be true...i bet this kid is only bragging here about himself and boasting for nothing..
Hivi kweli yupo binti anayetumia mtandao mpaka akaweka kifurushi atakupiga ndui ya jero???.....acha mambo hizo bwana mdogo....Na hata kwenye maisha halisi kama unapata mademu basi wana kazi hao mademu zako!!!......i don't buy this nonsense.....
 
Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,
Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama AnaInterest Na mm, Basi 2kachat kwa JF mpk ikafkia hatua 2kapeana Namba,..Kiufupi Kwa Jinsi nilivyomuona ni mwanamke mwenye uelewa mdogo alafu naona Bdo anaelement za KISWAHILI , kama Mizinga Ya Vocha Alafu bora ingekuwa Mizinga Mikubwa Eti NAomba Nirushie Vocha Ya Mia 5 Kwa Simu, Kwa Kuwa Mimi MOTTO wangu ni kutokuonga nikamchomolea siku ya kwanza aliponipiga Mzinga Huo,..2kaendelea kuchat ikafka muda wa Kumeet, Mtoto Nikamwambia 2mit Mlimani City Pale Chicken Heart, akasema Poa, sasa Jana Mimi Npo Na Goons Yangu maeneo yale ananipigia Simu Anakuja ila kuna sehemu kapitia, Nikamchana kwmb c o kesi Mimi bdo nipo kwani kikao changu ni kikubwa , nikamweleza Majeshi nanyanyua saa Sita, Ilipofka Mida ya saa2 akani2mia Txt Kwamba ameghairi kuja cz kuna mambo anafanya kwaiyo 2fanye cku nyingine, Nikamwambia Mbona unakuwa Mswahili Namna Hiyo, Basi Nilipomwambia Hivyo akaanza kuporomosha lugha za kwao Tandale kwa Tumbo Plus matusi Kibao Yaani.,Mimi nikamwambia hawezi kushinda na mtu mwenye hela na ambaye yupo kwenye system ambaye ni mimi, Akaendelea kunitukana,Na Matusi Juu.,Eti anasema ninamforced sana .Sasa Leo asubuhi Nimeongea na Mwanasheria Wangu Kuhusu hili Jambo Amesema yeye ananickiliza Mteja Wake,.Kitu Kilichofanya nilete Uzi huu Hapa Ni kwamba, Uwezo Wa Kumpata na Kumchukulia Hatua Ninao , Sema naona Nitapoteza Muda wa Kutafuta Hela,.Ictoshe huyo Mtoto Wa JF ni Kajamba NaNi, WANAJAMVI NIMFANYAJE MTU WA NAMNA HII , USHAURI NITASHUKURU ILI NICJE NIKAFANYA JAMBO BAADAE NIKAMUONEA HURUMA...

Mzee CV yako inaonyesha ni kubwa, kamwe usijaribu kui-abuse. Maadamu Mungu amekujalia hivyo, fanya mambo makubwa yanayofanana na wewe,..., vinginevyo utakuja kustukia unapata laana kutoka kwa Mungu. Most important, wapende watu but with greater caution,..., be very careful with the way you deal with them!
 
Usinambie kuna wadada wanapiga mzinga wa jero hapa?
Kama uliovosema wote wamekutana wa Masaki kwa Tumbo na wa Tandale kwa mfuga mbuzi..lolz
Full usaniii nakuambia....


Unajua nini ngoma droo.mwanaume kawaza nyapu mwanamke kawaza mbesa sasa kama dau lake jero kwa nini asiombe jero?hapa mmu wapo watu wa aina tofauti na sababu tofauti ya kuwa hapa so bro usishangae mbona wapo wengi twawajua.
Ila mleta mada naye mpenda sifa balaa dizaini ya yoyoyo whatsapp
 
Tatizo lako huna swaga leta swaga uone pm's na mainvoice watakayokutumia loo
Usinambie kuna wadada wanapiga mzinga wa jero hapa?
Kama uliovosema wote wamekutana wa Masaki kwa Tumbo na wa Tandale kwa mfuga mbuzi..lolz
Full usaniii nakuambia....
 
She is smart amesikiliza intuition yake na amepata cold feet.mwanasheria kwa sababu hakutaki ?she rejected you na hakutaki tena .she is very luck inaelekea kuwa very controlling and abusive and insecure .she rejected you fine move on get somebody else .unamrishia mwanasheria kwa ajili ya penzi bwana .pesa ulituma mwenyewe
leo comment yako ina mashiko, keep it up mama. I like it.
 
Kwenda kidudu mtu wewe!!!!
serengeti boys mmekuja na mbinu ya kujizolea ujiko hapa eti wadada wa jf wanawachuna, hela zenyewe mnazotolea povu sasa....ptuuuuuuuu!
mchumba umekuwa mkali mno, usikute unatapeli wengine wakati uko na mimi,
eti sweet Salt, hebu nipe ukweli mamaa.
 
Hapa naona kuna madharau ya kitabaka. Tandale kwa tumbo na ushuani so wha what. Ata wa ushuwani kuna watu wanaitwa Salima matusi
 
Naamini Mwanaume Aliyetimia Na Mwenye Vichwa Viwili Vinavyofanya Kazi Ipasavyo Huwezi Kubishana au Kutoleana kauli Na Mwanamke Ambaye Ni KIUMBE DHAIFU cku Zote, Ningependa Evelyn Salt ufahamu Kwamba Cpo Hapa JAMVINI Kufurahisha GENGE ila Nipo Hapa Ili Kuweza Kutoa Mchango Wangu Na Mawazo Au Hata Ikiwezekana uwezo wa kiFEDHA hapa Jamvi Kwa Wanajamvi Na Pia Mimi Niweze Kuchangia Na kutoa Ushauri Kwa Wanajamvi Wengine Pia . Na Sipo Hapa Kulumbana, Kama Unaona Thread Yangu Imekuboa Unaweza Ukakaa Kimya Kwani Naamin Hutapungukiwa Na Kitu, Ila Fahamu Kwamba Hili Jambo Lililonipata C o Kama Nimelichukulia kirahis,.MIMI ni MTU ninaye JIHESHIMU na Mwenye HESHIMA na Zangu na pia ninaye HESHIMIKA mbele Ya Jamii ..Jifunze Kuwa Na Smart Mind..Hope Utakuwa Umenielewa. Evelyn Salt
 
Kaka kumbe mizinga inaitwa ndui? Mmmh, sipati picha mzinga wa gari (heh, japo ka-fortuner jamani kwa mupenzi) inaitwaje? Itakuwa arv nahisi, lol
This story is too good to be true...i bet this kid is only bragging here about himself and boasting for nothing..
Hivi kweli yupo binti anayetumia mtandao mpaka akaweka kifurushi atakupiga ndui ya jero???.....acha mambo hizo bwana mdogo....Na hata kwenye maisha halisi kama unapata mademu basi wana kazi hao mademu zako!!!......i don't buy this nonsense.....
 
Wewee na wee huna tofauti nae.yaani huyoo ndo anasumbua akili yako.dah kweli watu tumeubwa tofauti.
Achana nae.Mijitu ya JF loh inaboa ajabu mie pia nilikutana na limwanaume la JF likaniboa ajabu nikalichana live achana na mie.

Naomba unisamehe, ulikuwa ni utoto tu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom