Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,479
usiamini wanasheria, achana na dhana kwamba "nina mwanasheria wangu". kwa kifupi ni kwamba, kuwa na mwanasheria usidhani ni security tosha, bado kuna wanasheria waliojitangaza na wanaokandamiza fee kubwa lakini tumeona wakienda pale kisutu, wanaaibishwa na kugalagazwa na vitoto ambavyo vimefanya kazi miaka hata mitano haijaisha. kwasababu hata kama wanao uzoefu wa miaka mingi, hawana update ya case law za siku hizi na akili zao zinazeeka hawawezi kushindana na damu changa. hivyo pamoja na kuwa na uyo "mwanasheria wako"bado wewe kuna siku unaweza kujikuta upo korokoroni behind the bars. kwa masuala hayo mtu ambaye yuko secure kupita kiasi ni mwanasheria mwenyewe aliyesoma na kuwa na degree ya sheria au zaidi, na ambaye amepractice sheria.Kwa Bahati Nzuri Hizo Process Ulizonipa hata MWANASHERIA WANGU pia alishaniambia kuhusiana na hicho unachosema, Hata Hivyo Nashukuru Sana ndugu Hute Kwa Ushauri wko wa ziada, NIMEAMUA KUMSAMEHE HUYU KIDUDU MTU cz nimeona NITTAPOTEZA MUDA WANGU BURE kwa w2 WENYE UELEWA MDOGO KAMA HUYU..!!!!
kujidai kuwa wewe ni mtu wa system, ni ushamba mkubwa sana. kuna watu wengi tu humu jf wametulia, wengine maafisa usalama wa taifa wakubwa sana wenye network ya kila aina lakini wamenyamaza kimyaaa, zaidi ya yote siku hizi unaweza kuwa kwenye system ukagaragazwa hata na mwendesha bodaboda tu. dunia imebadilika system zinaenda zikisambaratika, uhuru wa watu umegunduliwa hivyo cha maana si kutishia watu, ni kuishi kwa nidhamu bila kujidai na kutishia watu hiyo system yako.