Nimfanye nini huyu kidudu mtu?

Nimfanye nini huyu kidudu mtu?

Yani huyu ni mtu wa ajabu kwani ana mtuhumu mwenzio kuwa kamtukana lakini na yeye ana fanya kosa lilelile!

Wakishua, mimi nimesoma hii report yako na kimoja nichoweza kukushauri ni kuwa wewe na huyo dada wa JF unayemwita kidudu mtu hamna tofauti kubwa kitabia, labda kwa kuwa yeye ni wa Tandale na Wewe ni wa Kishua, lakini wote mko sawa tu. Kikubwa msameheane tu maisha yaendelee..
 
Ndi huamini utoto ni stage ambayo huwarudia wengi!

Wakati mnaanza kutumiana PM hukutuhusisha sasa ivi kwakua kishakunyea ndio unatuhusisha? Acha hizo banaa! Unatuondolea stimu za weekend bana!
 
Hahahahahahahahahahaha
King'asti
hivi unafikiri kuna loya wa kukubali hiyo case au ana piga mikwara tuu!

We msome angalia alicho kiandika ndio utajua!
Hivi unaweza ukaamini hakumrudishia hayo matusi wakati hapa tu kwenye uzi kamtukana alaf na yeye ana lalamika kutukanwa!

You must be unsound to understand him!

Hahahahahahahahahahhaha!
Yaani umenichekeshaje! Sasa ushauri wetu badaka ya kumsikiliza loya wako?

(sorry, loya wako ni ruttashoborwa?)
 
Last edited by a moderator:
Hukumpa mia tano kwa sababu na wewe huna,tena unaonekana ni wa tandale ila unajiita wa kishua,wenye hela huwa hawajisifii na huna mwanasheria wala nini unajipa promo lloooh
 
Bora Sumu na wewe umemkumbusha kuwa kamdhalilisha mwenzie!

Ngoja niwasiliane na Rweyemamu ili tuone ni namna gani tunaweza kukushtaki kwa kosa la udhalilishaji.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,
Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama AnaInterest Na mm, Basi 2kachat kwa JF mpk ikafkia hatua 2kapeana Namba,..Kiufupi Kwa Jinsi nilivyomuona ni mwanamke mwenye uelewa mdogo alafu naona Bdo anaelement za KISWAHILI , kama Mizinga Ya Vocha Alafu bora ingekuwa Mizinga Mikubwa Eti NAomba Nirushie Vocha Ya Mia 5 Kwa Simu, Kwa Kuwa Mimi MOTTO wangu ni kutokuonga nikamchomolea siku ya kwanza aliponipiga Mzinga Huo,..2kaendelea kuchat ikafka muda wa Kumeet, Mtoto Nikamwambia 2mit Mlimani City Pale Chicken Heart, akasema Poa, sasa Jana Mimi Npo Na Goons Yangu maeneo yale ananipigia Simu Anakuja ila kuna sehemu kapitia, Nikamchana kwmb c o kesi Mimi bdo nipo kwani kikao changu ni kikubwa , nikamweleza Majeshi nanyanyua saa Sita, Ilipofka Mida ya saa2 akani2mia Txt Kwamba ameghairi kuja cz kuna mambo anafanya kwaiyo 2fanye cku nyingine, Nikamwambia Mbona unakuwa Mswahili Namna Hiyo, Basi Nilipomwambia Hivyo akaanza kuporomosha lugha za kwao Tandale kwa Tumbo Plus matusi Kibao Yaani.,Mimi nikamwambia hawezi kushinda na mtu mwenye hela na ambaye yupo kwenye system ambaye ni mimi, Akaendelea kunitukana,Na Matusi Juu.,Eti anasema ninamforced sana .Sasa Leo asubuhi Nimeongea na Mwanasheria Wangu Kuhusu hili Jambo Amesema yeye ananickiliza Mteja Wake,.Kitu Kilichofanya nilete Uzi huu Hapa Ni kwamba, Uwezo Wa Kumpata na Kumchukulia Hatua Ninao , Sema naona Nitapoteza Muda wa Kutafuta Hela,.Ictoshe huyo Mtoto Wa JF ni Kajamba NaNi, WANAJAMVI NIMFANYAJE MTU WA NAMNA HII , USHAURI NITASHUKURU ILI NICJE NIKAFANYA JAMBO BAADAE NIKAMUONEA HURUMA...
pamoja wewe kuelewa "uelewa mdogo wa huyu mtoto na kuwa ni mtoto kajamba nani". pamoja na wewe ni kuwa mtu wa system na mwenye kuweza kutumia mwanasheria na pesa, bado wewe ulijipa muda wa kukutana na huyu binti. ninakulaumu sana wewe. ulipoona anamaneno na kudai vitu visivyofanana na haiba yako ulipaswa kuachana nae. kwenye jamii kuna watu wa kila aina , wote ni binadamu lakini kila wanaofanana huambatana wao kwa wao. kwamfano huyu binti angekutana na kindimbajuu, yaani tungeelewana kwa kwenda mbele... maana hata hizo lugha chafu unazosema sisi ndo zetu hizoooo.
ushauri wangu , ni kuwa msamehe huyo binti , usipoteze muda na nguvu uliyonayo eti imdhibiti huyo binti. weka hii nguvu ikatumike pahala pengine kwa faida zaidi. pili nakushauri mtu wangu wa "system" achana na hizi contacts za kuokota hapa jamii forums, hapa ukiokota contact utambue" risk" ni yako mwenyewe
 
Ila maloya mna kazi. Ufiaadi mmeshindwa kupambana nao hizi ndo kesi zilizobaki. Hahaha, nimecheka sana aisee. Ati ana hela., mtu wa system! System nayo imeishiwa kabisaa
Hahahahahahahahahahaha
King'asti
hivi unafikiri kuna loya wa kukubali hiyo case au ana piga mikwara tuu!

We msome angalia alicho kiandika ndio utajua!
Hivi unaweza ukaamini hakumrudishia hayo matusi wakati hapa tu kwenye uzi kamtukana alaf na yeye ana lalamika kutukanwa!

You must be unsound to understand him!
 
Last edited by a moderator:
Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,
Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama AnaInterest Na mm, Basi 2kachat kwa JF mpk ikafkia hatua 2kapeana Namba,..Kiufupi Kwa Jinsi nilivyomuona ni mwanamke mwenye uelewa mdogo alafu naona Bdo anaelement za KISWAHILI , kama Mizinga Ya Vocha Alafu bora ingekuwa Mizinga Mikubwa Eti NAomba Nirushie Vocha Ya Mia 5 Kwa Simu, Kwa Kuwa Mimi MOTTO wangu ni kutokuonga nikamchomolea siku ya kwanza aliponipiga Mzinga Huo,..2kaendelea kuchat ikafka muda wa Kumeet, Mtoto Nikamwambia 2mit Mlimani City Pale Chicken Heart, akasema Poa, sasa Jana Mimi Npo Na Goons Yangu maeneo yale ananipigia Simu Anakuja ila kuna sehemu kapitia, Nikamchana kwmb c o kesi Mimi bdo nipo kwani kikao changu ni kikubwa , nikamweleza Majeshi nanyanyua saa Sita, Ilipofka Mida ya saa2 akani2mia Txt Kwamba ameghairi kuja cz kuna mambo anafanya kwaiyo 2fanye cku nyingine, Nikamwambia Mbona unakuwa Mswahili Namna Hiyo, Basi Nilipomwambia Hivyo akaanza kuporomosha lugha za kwao Tandale kwa Tumbo Plus matusi Kibao Yaani.,Mimi nikamwambia hawezi kushinda na mtu mwenye hela na ambaye yupo kwenye system ambaye ni mimi, Akaendelea kunitukana,Na Matusi Juu.,Eti anasema ninamforced sana .Sasa Leo asubuhi Nimeongea na Mwanasheria Wangu Kuhusu hili Jambo Amesema yeye ananickiliza Mteja Wake,.Kitu Kilichofanya nilete Uzi huu Hapa Ni kwamba, Uwezo Wa Kumpata na Kumchukulia Hatua Ninao , Sema naona Nitapoteza Muda wa Kutafuta Hela,.Ictoshe huyo Mtoto Wa JF ni Kajamba NaNi, WANAJAMVI NIMFANYAJE MTU WA NAMNA HII , USHAURI NITASHUKURU ILI NICJE NIKAFANYA JAMBO BAADAE NIKAMUONEA HURUMA...

watu wengine wamekaa kuleteana ban tu bila sababu..
kweli wewe mboga saba..
 
Haihitaji akili kubwa kuyajua mazingira ya kiakili aliyonayo mtoa uzi kifupi huyu ni wakumruhusu afanye kile kilichoujaza moyo wake tena aache kutudharirishia mla vichwa vya kuku mwenzetu .....NonsensE .
 
Ila maloya mna kazi. Ufiaadi mmeshindwa kupambana nao hizi ndo kesi zilizobaki. Hahaha, nimecheka sana aisee. Ati ana hela., mtu wa system! System nayo imeishiwa kabisaa

heheheheh system bongo.....
System inashinda jf kutafuta mademu........
Ndo maana nchi imewashinda.......

Inanikumbusha mbaaali kuna mtu alinitongoza kwa gia ya system.....nikamwambia nipe siku 3 nitakwambia unafanya kazi wapi........... Siku nilomwambia aliko akaingia mitini....ujanja wa kizamani sana huu.....
 
Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,
Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama AnaInterest Na mm, Basi 2kachat kwa JF mpk ikafkia hatua 2kapeana Namba,..Kiufupi Kwa Jinsi nilivyomuona ni mwanamke mwenye uelewa mdogo alafu naona Bdo anaelement za KISWAHILI , kama Mizinga Ya Vocha Alafu bora ingekuwa Mizinga Mikubwa Eti NAomba Nirushie Vocha Ya Mia 5 Kwa Simu, Kwa Kuwa Mimi MOTTO wangu ni kutokuonga nikamchomolea siku ya kwanza aliponipiga Mzinga Huo,..2kaendelea kuchat ikafka muda wa Kumeet, Mtoto Nikamwambia 2mit Mlimani City Pale Chicken Heart, akasema Poa, sasa Jana Mimi Npo Na Goons Yangu maeneo yale ananipigia Simu Anakuja ila kuna sehemu kapitia, Nikamchana kwmb c o kesi Mimi bdo nipo kwani kikao changu ni kikubwa , nikamweleza Majeshi nanyanyua saa Sita, Ilipofka Mida ya saa2 akani2mia Txt Kwamba ameghairi kuja cz kuna mambo anafanya kwaiyo 2fanye cku nyingine, Nikamwambia Mbona unakuwa Mswahili Namna Hiyo, Basi Nilipomwambia Hivyo akaanza kuporomosha lugha za kwao Tandale kwa Tumbo Plus matusi Kibao Yaani.,Mimi nikamwambia hawezi kushinda na mtu mwenye hela na ambaye yupo kwenye system ambaye ni mimi, Akaendelea kunitukana,Na Matusi Juu.,Eti anasema ninamforced sana .Sasa Leo asubuhi Nimeongea na Mwanasheria Wangu Kuhusu hili Jambo Amesema yeye ananickiliza Mteja Wake,.Kitu Kilichofanya nilete Uzi huu Hapa Ni kwamba, Uwezo Wa Kumpata na Kumchukulia Hatua Ninao , Sema naona Nitapoteza Muda wa Kutafuta Hela,.Ictoshe huyo Mtoto Wa JF ni Kajamba NaNi, WANAJAMVI NIMFANYAJE MTU WA NAMNA HII , USHAURI NITASHUKURU ILI NICJE NIKAFANYA JAMBO BAADAE NIKAMUONEA HURUMA...
kwa maandishi yako, nahisi ulichokiandika cha kujisifia sifia na hali yako halisi ni vitu viwili tofauti.... Ni kama bangi na serikali....
 
Back
Top Bottom